Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al jazeera wanasema ni Iran wewe mmatumbi wa mchamba wima unakataa tukueleweje?sio iran anayefanya mashambulio hayo
Kwa hiyo kuna wakati huwa halindwi?Netanyahu atakuwa analindwa kila sekunde ?
Tangu lini sisiem ikajali watu? Wao wanachojali akina Lucas Mwashamba, kipara kipya, stroke, choice variable wapo, the rest mliojitambua na kupata exposure kiasi cha kuweza kwenda huko nje mtajijua wenyewe.Hivi huko nje Lebanon, Iran,. Palestine, hakuna Watanganyika wenzetu,, wana hali gani ? Serikali na balozi zetu wana takwimu zao. Nimesikia Kenya ihangaika kuwatoa raia wao zaidi ya 24,000 nchini Lebanon, sisi ikoje ?
wewe ni kiazi na hujui hali halisi ilivyo. Pale russia kumejaa waisrael kibao mpaka ibramovich mwenyewe ni raia kabisa.israel anapigwa na mrusi leo
Ni hatariUtashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Mkuu, wewe unafiatilia chanzo kipi mwenzetu, isije ikawa tunakosa uhondo maana watu mna siri sana. Yaani hadi kuona airbase na oil facilities zilizolipuliwa nazo ni mpaka uwe na connections mjini? Msitufanyie hivyo jamaniKwa udhaifu wa iron dome sitegemei Israel kufanya chochote labda atengeneze tena mfumo mpya wa Air defence vinginevyo Iran inaweza kuifuta Israel ndani ya masaa 48, maana makombora yote asilimia 90 yamehit Target kwenye Airbase na oil facilities
This is not good. Iran linaenda kumkuta jambo.⚡Washington calls on all countries to join it in condemning Iran's attack on Israel.
Oyaaaa😂😂😂😂Mkuu, wewe unafiatilia chanzo kipi mwenzetu, isije ikawa tunakosa uhondo maana watu mna siri sana. Uaani hadi kuona airbase na oil facilities zilizolipoliwa nazi ni mpaka uwe na connections mjini? Msitufanyie hivyo jamani
Ungeenda Jukwaa la ChitChat au la Michezo, huku umekosea kuja, hakukufaisio iran anayefanya mashambulio hayo
Hii hutoisikia kokote na hata hayo makombora utasikia hayajaleta athari yoyote,, kifupi yahudi roboti hafiDk30 zilizopita wapalestina wawili wameingia tel aviv,chapa risasi watu 23 dead
Sikutaraji watu watakuwa wachoyo kiasi hiki😅Oyaaaa😂😂😂😂
Nina hakika Israel atajibu, akijibu mashambulizi nitakuita unionyeshe hasara ya shambulizi la Iran alafu tulinganishe na hasara watakayokuwa wamepata Iran.Israel Hana uwezo wa kumpiga Iran.
sawaUngeenda Jukwaa la ChitChat au la Michezo, huku umekosea kuja, hakukufai