Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

hapa sio ukristo ni ukweli kuwa Israel anajua, anaweza ,amezoea an uwezo wa vita vya midle east kweli
 
Hii ya kwako uswahilini inaitwa mahaba niue.
Kombora la Iran limeua mpalestina, Iran wajitathmini

Mabomu mengi yaliyoachwa yatue yametua nje ya mji

Halafu hii delayed response ya Iran si ajabu ilikuwa ni kwa ajili ya kujiandaa kwa retaliation ya Israel.

Yule Haniya si kauliwa zaidi ya mwezi sasa?

Ooh pia, nilikuwa naangalia Al Jazeera hapa sasa hivi na kuna mtaalamu mmoja wa masuala ya Mashariki ya Kati kasema Israel inaitegemea Marekani kwenye karibu kila kitu….kuanzia ndege za kivita, mabomu, makombora, ujasusi, na kadhalika.

Ila watu walivyo na fantasies, wanakwambia Marekani ndo inaitegemea Israel 🤣.
Yule kiongozi wa Hamas baada ya kuuawa kulikuwa na maoni tofauti ya viongozi wa Iran kuhusu kuishambulia Israel, lakini walitangaza watajibu... Kwa mujibu wa vyanzo vya Iran... Inasemekana rais wa sasa wa Iran hapendelei vita...

Ila baada ya Israel kummaliza Nasrallah na wale viongozi wa jeshi la Iran ndipo naona wakaamua kujibu leo...

Jana nilikuwa nimeingia WikiLeaks kusoma documents mbali mbali... Aisee US wanatengeneza spyware softwares ambazo Israel ni overrated, hao NSA wana projects zao za hatari mno..

Tuje kwenye Cyber warfare units ambapo watu wanaiona Israel ni mjuzi sana, tuache jeshi ambapo wanapata msaada kila mwaka kutoka US, Cyber warfare unit Israel kuna Unit 8200 kwa USA kuna NSA, UK wana GCHQ, Russia unit 29155 GRU, lakini hao unit 8200 bado kwa NSA... Hata Russia hawajafika..

Sijajua hizi story watu huwa wanazitoa wapi mkuu...

Kwenye jeshi ndio kabisa bila US sijui Israel maisha yangekuwa vipi...
 
Screenshot_20241002-022157.png
 
Mimi sifanyi nyuma wanaume wala wanawake napenda tu tundi takatifu lile la edeni basi
Kama wewe unafanywa na wenzako nyuma hapana mimi sio.mambo yangu kwanza usinikoti unanuka nyaa kaa mbali kabisa
Mwenye biashara yake huwa mwepesi kutangaza haya tushakufahamu shangazi endelea kuwapa watu burudani halafu ukiona wanaume usipende kuwadandia rudia post ya mwanzo uone nani alishobokea kwa kukoti post ya mwenzie habith la ammary wewe!
 
Hakuna professionism yoyote, Kabla makombora hayajafika Israel huwa kuna vingora vinalia watu wanakimbilia kwenye nyumba maalum za kujikinga na mabomu, Raia waliokufa ni kwa upande wa Palestina, Iran imeua mpalestina.

Pili, Makombora yaliyokuwa yanaelekea maeneo ya makazi ya watu mengi yamelipuliwa angani kwa mfumo wa Iron Dome, yaliyoachwa kwa maksudi yatue ni yale yanayoangukia sehemu za wazi zisizo na madhara ya milipuko
😂😂😂😂😂😂

Wabongo bana. Kumbe kuna makombora yanaachwa yatue makusudi? Huwa mnatoa wapi hizi habari? Kwamba air defense systems, zinajua hili linaenda sehemu ya wazi, zinaliacha?

Alafu nani kakuambia Iron dome inadeal na hypersonic missiles? Warfare sio kitu cha kuongelea kirahisi kama habari za simba na yanga!
 
Upo nyuma sana kwenye mambo ya Teknolojia jielimishe kidogo kuhusu AI na Programming ndio utajua mitambo inavyoweza kusetiwa kupangua au kuyaacha makombora kulingana na mazingira

, Jionee makombora ya Iran yaliyokuwa yanaingia kwenye miji ya watu yanavyopanguliwa

Makombora mengi yaliyoachwa ni yale yanayotua nje ya mji sehemu zisizo na makazi

Makombora yote hayo yameishia kumuua mpalestina moja

Mtoa mada unataka Iran afanye kama afanyavyo Israel kulipua Majengo ya raia na raia?

Usiwe na haraka sana ya ku post without more information, Just relax then leo asubuh mpaka mchana pitia tena vyanzo vya taarifa yako then utajua Iran ime target nin, na je hizo target zimekuwa successful au unsuccessful kwa asilimia ngap.

Harafu Kuua raia kama unavyotaka haimaanishi wewe ndio dominant kwenye uwanja wa vita, Ninachoona kwanza unatakiwa ushukuru ni raia mmoja ndio amekufa.

Next time Iran akishambulia na kuua raia ndani ya Israel nataka uje hapa useme coz naona Lugha ambayo west na mashabiki zake mnayo ielewa na violence and killing, Na ndio kitakachofuata soon baada ya Israel kujibu mashambulizi.
 
Yule kiongozi wa Hamas baada ya kuuawa kulikuwa na maoni tofauti ya viongozi wa Iran kuhusu kuishambulia Israel, lakini walitangaza watajibu... Kwa mujibu wa vyanzo vya Iran... Inasemekana rais wa sasa wa Iran hapendelei vita...

Ila baada ya Israel kummaliza Nasrallah na wale viongozi wa jeshi la Iran ndipo naona wakaamua kujibu leo...

Jana nilikuwa nimeingia WikiLeaks kusoma documents mbali mbali... Aisee US wanatengeneza spyware softwares ambazo Israel ni overrated, hao NSA wana projects zao za hatari mno..

Tuje kwenye Cyber warfare units ambapo watu wanaiona Israel ni mjuzi sana, tuache jeshi ambapo wanapata msaada kila mwaka kutoka US, Cyber warfare unit Israel kuna Unit 8200 kwa USA kuna NSA, UK wana GCHQ, Russia unit 29155 GRU, lakini hao unit 8200 bado kwa NSA... Hata Russia hawajafika..

Sijajua hizi story watu huwa wanazitoa wapi mkuu...

Kwenye jeshi ndio kabisa bila US sijui Israel maisha yangekuwa vipi...
Hapo ndo utaona tofauti kati ya uchumi wa GDP ya $25 trillion na defense budget ya $900 billion.

Nchi inayoifuatia US kwa military spending ni China. Mwaka jana defense budget ya China ilikuwa $231 billion.

Piga hesabu wewe tofauti kati ya 900 na 231.

Kwa misaada ya Marekani, Israel inaonekana iko juu sana hususan kwa vile mara nyingi inapambana na vikundi vya wanamgambo tu 🤣.

Marekani ina nuclear powered aircraft carriers 11.

Israel haina aircraft carrier hata moja.

Na hakuna nchi nyingine yoyote ile duniani yenye aircraft carriers hata 3 tu.

Halafu watu bado wanakomaza shingo na kuleta ubishi eti Marekani inaitegemea Israel. Vichekesho mtupu.
 
Israel ina eneo dogo sana haiwezi zuia saturation attack. Na pia inapenda kujibu kwa kutoa onyo kali.

Ila nadhania Israel itajibu kwa miundombinu muhimu Iran kama ya mafuta kwanza kama angalizo kuwa inaweza shambulia nuclear sites. Na hata Iran ikijibu tena sitarajii itarnda direct kushambulia Dimona nuclear site ya Israel badala yake ishambulie kama gas facilities kuonyesha inaweza piga Dimona ikiamua.

Israel ikipiga vinu vya Iran moja kwa moja Iran itashindwa kujizuia, Israel ingeshambuliwa kinu cha nyuklia Iran ingekuwa inachakaa vibaya kwa sasa. Wote wakienda kwa uangalifu itakuwa showdown. Yawezekana Iran kupitia Russia ikaitaarifu Israel izuge yaishe, kama ilivyo fanya al Assad airbase kule Iraq to save face baada ya Soleimani kuuwawa na Marekani.
Acha uongo wewe cha ujuaji,,, eti yawezekana iran kupitia Russia itaitaarifu Israel izuge yaishe 😅,,, we Jamaa sijui unajikutaga nani
 
Kwa bahati mbaya Israel naye ana Kinu cha Nuclear pale Dimona, nacho kinaweza kuchapwa
Na pia ana High tech industry , viwanda vyake vya high tech vinaweza kutandikwa ipasavyo!
Nafikiri Target ya msingi ni kuviharibu hivyo viwanda ili heshima itawale. Wamchukue Ayatollah ila ahakikishe ameondoka na Nuclear Stations zote za Israel ili kiburi kiwekwe mfukoni.
 
Back
Top Bottom