Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Utosikia USA au Israel wamerusha tukombora uko Iran kwanza mjue USA pamoja na kusifiwa kote atujawai ona akirusha komboro la kwenda km2000+ vita vyake zote anajisogeza adi karibu ndio anakubutua mwamba pekee ni Iran aitaji ndege kukufata aje kukubutua yeye viuma vinakufata ulipo tena anakwambia nakubutua so nyie tim Israel mtasubili kuona irani anajibiwa zaid tutaona vipicha picha seem zimepigwa kutoka setilate imagine lkn ujui kweli apo ni Iran au Ukraine lkn media zao zitapiga ngoma kila saa kuwa Israel kashambulia Iran mchezo utaishia ivyo. Ngumu ilionyooka tutaziona kutoka Iran tu. Uyo Iran ndio yahudi Og awajawai shindwa awa mnawashabikia ni wazingu tu wa ulaya tabia zao pia mnaona kama jamaa zao w ulaya wanapenda kufukuana mitaro yahudi og apendi uho upumbavu
 


https://www.timesofisrael.com/liveb...-projectiles-during-iranian-attack-on-israel/

Hao wote walihusika kupangua makombora yaliyoelekezwa kwa Netapaka halafu atatokea myahudi mweusi anakwambia kuwa Israeli inaweza shinda vita bila msaada kutoka nje.
 
Amepangua kwenye mataco yako ama we huoni vimondo vinavyoshuka na kuwasha umeme kila kona 😂
Mataco tena!? Hii lugha vipi mkongwe!?

Eneweizi, mabomu ambayo wameyazuia ni mengi sana, nilikuwa naangalia Al Jazeera, walikuwa LIVE kipindi mabomu yanaingia kwenye anga la Israel. USA walishirikiana na Israel kuintasepti sehemu kubwa ya mabomu yaliyorushwa.
Iron dome imejitahidi sana kufanya kazi yake, kwa hili naipa Israel maua yake.

Ingekuwa ni nchi nyingine tofauti na Israel imeshambuliwa kwa idadi hii hii ya mabomu (200+), saa hii tungekuwa tunaongea habari nyingine.
 
History itakuja kuwekwa wazi uko mbele Iranian ni ndio mabaki ya wale mawayudi asilia ndio awa Iranian ndio ata waislam wanaishi nao kwamashaka mana ayatollah wao siku ya Xmas mjue anasheelekea na ofisi yake inapambwa na miti kama uku kwetu na vile vitaaa taa. Pia wanavisheria vyao ktk dini zinautoutiana na uislam w kisuni ndiomana awaelewani. suni wanawaona awa Shia kama sio waislam ila wanazuga tu ili kuyadhibiti maeneo matakatiifu ambayo wao iran wanayatumia kwafaida y kipesa zsid. Pia mjue seem iliposhia kama Yemen au apo Lebanon awa jamaa wanpokea amri kutoka Iran mojakwamoja mkipigana na izo seem ujue muiran atawasaidia na awatoshindwa weka kumbukumbu. apo gaza kinachowachelesha kumtoa muisrael ukweli ni usuni tu w hamas wangekuwa wale ni Shia wanachukua amri kutoka Iran haaa ile vita ingekuwa tamu na chungu kwa muisrael. sasa amas ni suni zaid mwenye amri zaid kwao ni Qatar sio ayatollah. Kwaiyo Iran chinichini anataka uhongozi apo gaza uwe w kishia kabla kukombolewa iyo ardh kutoka kwa Israel anawaidia hamas kias ili tuu vita viendelee lkn Iran anaajenda yake nyengine kimya kimya ya kusimika uhongozi w kishia apo gaza ili kuodhi serikali ya kikombozi ambayo itatawala ardhi ya Palestine mpya kwaiyo Hamas anapewa msaada lkn sio mkubwa kama wenzao Yemen na hezbollah Je ni faida gani atapata Iran irani anataka maeneo matakatifu yote apo middle est ndiomana kaweka watuwake apo Yemen akiamua kuichukua saud Arabia basi anapitia Yemen pia Iraq anajua atapiga ela miaka na miaka zinakuja tu ukitaka kwenda kuhiji maeneo matakatifu yoyote yawe y kislamu cristian utaenda vizuli tu kama sasa.lkn ayatollah anamgao wake kupitia ww. Unaenda kuhiji tena kwa aman tu.
 
Martin Maranja Masese
@IAMartin_
·
6h
IRAN imerusha makombora zaidi ya 400 katika anga ya ISRAEL. Kwa asilimia kubwa makombora mengi yamenaswa kwenye Iron Dome. Dunia ipo kwenye teknolojia ya mbali sana. Nimejaribu kufikiri, kwa maonesho ya miaka 60 ya JWTZ na POLISI tuliyooneshwa, wanaweza kuzuia makombora ya Iran?

Ndani ya dakika 5 baada ya mashambulizi anatoa statement hii. Kumbe hawa vijana ni propaganda wa kiasi hichi?

"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu; wao ni marafiki wao kwa wao."
 
Iran hana ubavu wowote ule wa kusimama na myahudi. Huyo ambaye manati zake leo za msaada za kichina kirusi, na n.k zinadakwa ka panya na iron dome? ndo asimame na myahudi wa pagers?
Hivi nyinyi wenzetu huko kwenye ulokole mnafundishwa ubishi tu hata kwenye uhalisia?

Yaani bila aibu unasema hadharani makombora ya Iran yamedakwa na Iron dome?

Watu wamekuwa wakifuatilia live kwenye runinga wanajionea vyuma vinavyoshuka ardhini na ku hit target vingine kusababisha milipuka mikubwa wewe bado unasubiri kuhadithiwa na mchungaji wako?

Dunia ya leo sio ya propaganda tena kama tulivyotoka gizani na kudanganywa nguvu za mchongo alizokuwa nazo Israel kumbe ni mweupe hadi ategemee mabwana zake wamsaidie.

Amka wewe kumekucha sasahivi hakuna kudanganywa tena ni wakati wa kujionea live kila kitu.
 
Hapo swali la msingi, US inaitegemea kitu gani Israel?
Kama ni wataalamu wa sayansi, ni sayansi gani ambayo wamarekani au wanasayansi wengine watashindwa kuifanya hadi Israel ifanye?

Silaha? , sayansi za anga?, silaha?, madawa tiba? teknolojia? kilimo?... Hakuna sayansi na teknolojia ambapo wamarekani hawawezi kufanya sio tu kufanya ,kufanya katika ubora, pia nchi zingine nyingi sana wanafanya vizuri sana kwenye sayansi na teknolojia....

Sio mtu ameshiba ugali wa muhogo na kibua anakuja tu kusema "US inaitegemea Israel kwenye sayansi" swali la kumuuliza hapa awe specific, sayansi ni pana, ni sayansi gani hio wayahudi wanayoifahamu ya siri wanasayansi wengine kutoka Ulaya, Amerika n.k wasiijue?

Hapo ukimzidi point atakimbilia aliyegundua kitu flani ni myahudi, kuwa myahudi hata mkerewe wa ukara akitaka kuwa myahudi anakuwa, ni suala la ku convert kama walivyo waislamu na wakristo, uyahudi ni dini..

Kitu kingine cha ajabu, unakuta mtu mzazi wake mmoja ni muafrika mmoja myahudi wa Israel, akitokea akiwa mwanasayansi au mwanasiasa maarufu utasikia yule ni myahudi, uafrika unakuwa ignored totally..

Kiukweli kinachosumbua wengi Tanzania ni umasikini, ujinga ,ushamba na ukosefu wa kusafiri nchi mbali mbali kuishi na jamii za watu wa mataifa tofauti kwa sababu ya umasikini, ndio maana ushamba umetujaa tukiona mzungu au mchina...

Wanahisi ni species tofauti kutoka sayari nyingine 😂

Kwa hizi akili acha CCM iendelee kutawala hadi mwisho wa dunia.
We pimbi tu hujui,
Isrtael ndo wataalam wa technolojia yote huko sii marekani tu bali mataifa mengi duniani.
Waarabu wameiba technoloji toka mataifa mabayo walisaidiwa na Israel
Hutaki kunywa sumu
 

1727842413691.png
 
Hivi hawa wapinzani wa Israel mbona silaha zao Nyepesi sana., nikiangalia mbomu aliopigwa nao Hassan Nasrallah ni mbomu kweli kweli .

Mi nadhani washauriwe waachane na Hii vita
Kwanini washauliwe sindio itakuwa vizuri wakisha wote watabakia wakristo tu bwajima ataenda fungua kanisa Teheran.
 
Back
Top Bottom