Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Eeh hiko ndio chanzoDunia inataka kuingia kwenye vita ya tatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh hiko ndio chanzoDunia inataka kuingia kwenye vita ya tatu?
Na Iran nao wanatakiwa wapige Nuclear station za Israel kwa gharama zozote zile ili kuwakata kiherehere.Nasubiri Israel iue mradi wa nyuklia wa Iran. Hilo ndio la msingi hata kama watapigwa makombora kiasi gani.
Majibu yaje haraka
Nchi za Dunia ya tatu hazipo kulinda raia wake yaani hakuna maandalizi yeyote hata kuwa na mashimo ya kujificha wao wanaomba Mungu tu..Eeh hiko ndio chanzo
USA atafanya nini sasa unadhani?Hatimae IRAN naona kama kanasa kwenye Mtego...USA ina mahesabu makali sana.
Mataco tena!? Hii lugha vipi mkongwe!?Amepangua kwenye mataco yako ama we huoni vimondo vinavyoshuka na kuwasha umeme kila kona 😂
Ni haujui au umeaumua kusahau tu kuwa USA ndio anampa Back up israel.USA atafanya nini sasa unadhani?
Ulikua unataka wafe wangapi?!Utaambiwa na google hajafa hata mtu mmoja
Huyu ni Mungu wa Israeli anaweka Agano na watu wake. Yehova YWHWHuyu "bwana" ukimaanisha Marekani?
Hivi nyinyi wenzetu huko kwenye ulokole mnafundishwa ubishi tu hata kwenye uhalisia?Iran hana ubavu wowote ule wa kusimama na myahudi. Huyo ambaye manati zake leo za msaada za kichina kirusi, na n.k zinadakwa ka panya na iron dome? ndo asimame na myahudi wa pagers?
We pimbi tu hujui,Hapo swali la msingi, US inaitegemea kitu gani Israel?
Kama ni wataalamu wa sayansi, ni sayansi gani ambayo wamarekani au wanasayansi wengine watashindwa kuifanya hadi Israel ifanye?
Silaha? , sayansi za anga?, silaha?, madawa tiba? teknolojia? kilimo?... Hakuna sayansi na teknolojia ambapo wamarekani hawawezi kufanya sio tu kufanya ,kufanya katika ubora, pia nchi zingine nyingi sana wanafanya vizuri sana kwenye sayansi na teknolojia....
Sio mtu ameshiba ugali wa muhogo na kibua anakuja tu kusema "US inaitegemea Israel kwenye sayansi" swali la kumuuliza hapa awe specific, sayansi ni pana, ni sayansi gani hio wayahudi wanayoifahamu ya siri wanasayansi wengine kutoka Ulaya, Amerika n.k wasiijue?
Hapo ukimzidi point atakimbilia aliyegundua kitu flani ni myahudi, kuwa myahudi hata mkerewe wa ukara akitaka kuwa myahudi anakuwa, ni suala la ku convert kama walivyo waislamu na wakristo, uyahudi ni dini..
Kitu kingine cha ajabu, unakuta mtu mzazi wake mmoja ni muafrika mmoja myahudi wa Israel, akitokea akiwa mwanasayansi au mwanasiasa maarufu utasikia yule ni myahudi, uafrika unakuwa ignored totally..
Kiukweli kinachosumbua wengi Tanzania ni umasikini, ujinga ,ushamba na ukosefu wa kusafiri nchi mbali mbali kuishi na jamii za watu wa mataifa tofauti kwa sababu ya umasikini, ndio maana ushamba umetujaa tukiona mzungu au mchina...
Wanahisi ni species tofauti kutoka sayari nyingine 😂
Kwa hizi akili acha CCM iendelee kutawala hadi mwisho wa dunia.
Wachungaji feki wamewaathiri bongo zenu na nyie mkakubali kushikiwa bongo zenu.Huyu ni Mungu wa Israeli anaweka Agano na watu wake. Yehova YWHW
JESUS IS LORD&SAVIOR
Kwanini washauliwe sindio itakuwa vizuri wakisha wote watabakia wakristo tu bwajima ataenda fungua kanisa Teheran.Hivi hawa wapinzani wa Israel mbona silaha zao Nyepesi sana., nikiangalia mbomu aliopigwa nao Hassan Nasrallah ni mbomu kweli kweli .
Mi nadhani washauriwe waachane na Hii vita