Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Hakuna kioichofanyika cha maana kwa makombora ya iran ndege zote zilikuw hewan na clip zako za kutengeneza ambazo hata al jazeera hana 🀣

View: https://x.com/kimhvik2/status/1841124340974133357?t=uhs3NSEjNyGKbEJkOUj23Q&s=19
Hahaha sawa dogo hakuna kilicho fanyika Israel leo kakiri base zake zimepigwa we uje useme ndege zote zilikuwa kwenye anga πŸ˜„

Nakuliza swali wewe unajua F35 ikiwa ina fly mda wa one hour in cost ngapi? Au basi ni ujinga wako ndio unakudan'gan'ya. Ikiwa F16 ina cost karibu 40,000 US dollars ikiwa kwenye anga one hour. Punguzeni ujinga.


View: https://youtube.com/shorts/2DtXV2uxM_E?si=JcLAcyTfjK2k6w1j
Piga in one hrs utapata jibu.


View: https://youtu.be/hIOBlOzK-3U?si=OcfFU_cG-Cgt6Bfl
Aljazeera kafukuzwa huko afu we tazama Aljazeera ya kiarabu ndio utafahamu Aljazeera ya kizungu hatoi aibu za Israel

Ndege 20 F-35 ni majivu kabisa we endelea kujitekenya.
 
Nimekupa na route kabisa kipindi iran anarusha makombora yake hizo ndege zilikuwa wapi
Bado unabisha uandhani hiki ni kijiwe cha alkasus unaleta uongo hahah sasa kama zinakost hivyo je waziache chini zilipuliwe kumbe ww tahira? πŸ˜†πŸ€£

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1841523855556268509?t=8JgiaxqJ1qyE9fui-2C4mw&s=19
 

View: https://x.com/TheMossadIL/status/1841741504529735757?t=lzTWHpFdhTIDgofKKL_ETg&s=19
 
Eti zilikuwepo juu Israel hakutegemea kushambuliwa na Iran kuja kuambiwa na US hakuweza kufanya lolote hata Nyau alikimbia mbio eti ndege zilikuwa juu hio ni Satalite image ndio imeonyesha uwongo wa Israel usidhani Iran πŸ˜„ Rudi shule dogo kasome


View: https://youtu.be/t7gx33mb-Bc?si=Pwy0pECeh3YX24D2
 
Najua umeumia sana na kulia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana Iran sio Chato broo

Here we go broo

Iran sio ifakara mwee[emoji23][emoji23]
 
Sasa Israel bado anaendelea kuwatwanga Palestina huko Gaza na Lebanon anaendelea kutoa kipigo na viongozibwa hezbollah bado wanawindwa wakitoa pua tu wanawahishwa ahera. Sasa shambulizi la Iran limezuia nini?
 
Sasa Israel bado anaendelea kuwatwanga Palestina huko Gaza na Lebanon anaendelea kutoa kipigo na viongozibwa hezbollah bado wanawindwa wakitoa pua tu wanawahishwa ahera. Sasa shambulizi la Iran limezuia nini?
Ni sahihi. Sisi tunashabikia vita hii kwa hisia za siasa kali za ukristo na hasa uislam. Lakini hatupunguzi madhara wala vifo vya wapalestina na WA Lebanon. Na bahati mbaya kote pana waislam wengi wanaokufa na WAKRISTO wachache wanaokufa pia. Lakini tusisahau, hata kukiwa na amani ya kawaida, muislam kwa Imani ya kitabu chake ni mbaguzi, mkatili na muoneaji wa mkristo.
 
Hakuna kitu hspo picha ya kutengeneza hiyo
Na wewe umeingia mkenge kichwa kichwa nevatim airbase ilipigwa april na juzi ilipigwa lakini hskun ndege yyte iliopigwa na nilikupa picha za radar 1 hour before attack fleet yote ilikuwa hewani sijui unaelewa? 🀣
 
Sense 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…