Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Oct 4, 2024 #1,101 AKILI ZAKO said: Hakuna kioichofanyika cha maana kwa makombora ya iran ndege zote zilikuw hewan na clip zako za kutengeneza ambazo hata al jazeera hana 🤣 View: https://x.com/kimhvik2/status/1841124340974133357?t=uhs3NSEjNyGKbEJkOUj23Q&s=19 Click to expand... Ndege zote zilikuwa hewan unamaanisha nini ..ni sawa kusema chakula chote kilichopikwa kilikuwa tumboni tiara
AKILI ZAKO said: Hakuna kioichofanyika cha maana kwa makombora ya iran ndege zote zilikuw hewan na clip zako za kutengeneza ambazo hata al jazeera hana 🤣 View: https://x.com/kimhvik2/status/1841124340974133357?t=uhs3NSEjNyGKbEJkOUj23Q&s=19 Click to expand... Ndege zote zilikuwa hewan unamaanisha nini ..ni sawa kusema chakula chote kilichopikwa kilikuwa tumboni tiara
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Oct 4, 2024 #1,102 zithromax said: Ndege zote zilikuwa hewan unamaanisha nini ..ni sawa kusema chakula chote kilichopikwa kilikuwa tumboni tiara Click to expand... Saa limoja kabla ya shambulizi fleet yote ya ndege zilitolewa pale nevatim airbase so wakati wa shambulizi ndege tayari ziko hewan View: https://x.com/kimhvik2/status/1841206400858423620?t=SPtLuqyMXhv7v3TTM2O09g&s=19
zithromax said: Ndege zote zilikuwa hewan unamaanisha nini ..ni sawa kusema chakula chote kilichopikwa kilikuwa tumboni tiara Click to expand... Saa limoja kabla ya shambulizi fleet yote ya ndege zilitolewa pale nevatim airbase so wakati wa shambulizi ndege tayari ziko hewan View: https://x.com/kimhvik2/status/1841206400858423620?t=SPtLuqyMXhv7v3TTM2O09g&s=19
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Oct 4, 2024 #1,103 KikulachoChako said: Ndege za kivita za Marekani zinajiandaa.... kushambulia Click to expand... Kwa hiyo ni vita ya Washington sio.
KikulachoChako said: Ndege za kivita za Marekani zinajiandaa.... kushambulia Click to expand... Kwa hiyo ni vita ya Washington sio.
I ikisimama panda JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 2,716 Reaction score 2,388 Oct 4, 2024 #1,104 Geographically Israel inaingia kwa Iran kama mara 70. Kwa idadi ya watu, Israel inaingia karibu mara 10 kwa Iran. Deterrence pekee anayohitaji hapa Iran ni bomu la nyuklia na second strike capability. Elewa neno deterrence!
Geographically Israel inaingia kwa Iran kama mara 70. Kwa idadi ya watu, Israel inaingia karibu mara 10 kwa Iran. Deterrence pekee anayohitaji hapa Iran ni bomu la nyuklia na second strike capability. Elewa neno deterrence!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 4, 2024 #1,105 Hali inazidi kuwa mbaya Mashariki ya Kati Magaidi wa Houthi yafanya Maandamano makubwa Mno kuiunga mkono Iran BBC news
Hali inazidi kuwa mbaya Mashariki ya Kati Magaidi wa Houthi yafanya Maandamano makubwa Mno kuiunga mkono Iran BBC news
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Oct 4, 2024 #1,106 Amewakacha bikra 72 hahaa View: https://x.com/HenMazzig/status/1842282002894245897?t=YAEou4hEfXqNO4B5SgHt2g&s=19
Amewakacha bikra 72 hahaa View: https://x.com/HenMazzig/status/1842282002894245897?t=YAEou4hEfXqNO4B5SgHt2g&s=19
Ubena Zomozi JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,608 Reaction score 1,286 Oct 6, 2024 #1,107 Shimba ya Buyenze said: Kama namuona Ayatollah akifaudu mabikra 72 soon! 😂 Click to expand... nonsense. Uharo mtupu unakutoka
Shimba ya Buyenze said: Kama namuona Ayatollah akifaudu mabikra 72 soon! 😂 Click to expand... nonsense. Uharo mtupu unakutoka
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Oct 6, 2024 #1,108 K11 said: Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele. Click to expand... Walipiga kambi za kijeshi. Hawaui raia kama wanavyofanya maharamia wanaotumwa na Netanyahu
K11 said: Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele. Click to expand... Walipiga kambi za kijeshi. Hawaui raia kama wanavyofanya maharamia wanaotumwa na Netanyahu