Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Geographically Israel inaingia kwa Iran kama mara 70.

Kwa idadi ya watu, Israel inaingia karibu mara 10 kwa Iran.

Deterrence pekee anayohitaji hapa Iran ni bomu la nyuklia na second strike capability.

Elewa neno deterrence!
 
Hali inazidi kuwa mbaya Mashariki ya Kati

Magaidi wa Houthi yafanya Maandamano makubwa Mno kuiunga mkono Iran

BBC news
 
Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Walipiga kambi za kijeshi. Hawaui raia kama wanavyofanya maharamia wanaotumwa na Netanyahu
 
Back
Top Bottom