Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------

In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.

Iran imekataa na haioshirikiana tena na IAEA.. wakati huo Haifa na Tel Aviv kunawaka moto..
 
Israel ni babalao they hits the target, soon bomu linatua kwa Yayatulah khemenay
 
Ni sawa ila Ayatollah hatoshuhudia tena mazungumzo yoyote ya kimataifa yanayoihusu Iran. Afe kwanza, mazungumzo watafanya wengine wenye akili na sio yeye na mahafidhina wanaompotosha.
 
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------

In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.

Iran sio walegevu hivyo
 
Ni sawa ila Ayatollah hatoshuhudia tena mazungumzo yoyote ya kimataifa yanayoihusu Iran. Afe kwanza, mazungumzo watafanya wengine wenye akili na sio yeye na mahafidhina wanaompotosha.
Wenye vinasaba vya Iran wakikusikia tu Mkuu umekwisha...nimekaa pale 🤭🙎

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Na base ya helicopter za kijeshi ya Iran imepigwa usiku wa kuamkia Leo. Na haifa pia Iran kapiga watu 3 wamekufa. Iran anasema Israel asipositisha vita haitokwenda kwenye mazungumzo ya kusitisha nyukilia
 
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------

In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.

Kichaa na kiburi ndio ile adabu waliyopata juzi mkuu kutoka Iran, mayahudi walijua Iran haitajibu watakaa tu na kufakari sasa ni kama wamepewa homework ama assignment
 
Hao wote wawili ni kelele tu, hawawezi kupigana vita ya moja kwa moja. Ndio maana Israel analialia Marekani aingilie kati.

Kwasasa duniani kuna taifa moja tu kenye uwezo wa kupigana vita mbali na mipaka ya nchi yake, nalo ni Marekani.

Uchawi wa vita ya mbali upo kwenye 'logistics' na hapo ndipo Marekani anawazidi wote.

Marekani anaweza kujibeba mpaka Iran huko akajenga miondombinu yote kama bandari, viwanja vya ndege, makambi ya kuishi wanajeshi n.k kisha mziki ukaendelea. Sio jambo rahisi.
 
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------

In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.

Mtu makelele mengi anachokoza vita halafu anakimbilia ugiriki kujificha, israel haijawahi kupata kiongozi mjinga hivi
 
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------

In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.

Waarabu na waajemi ni wajinga sana.
 
Ni sawa ila Ayatollah hatoshuhudia tena mazungumzo yoyote ya kimataifa yanayoihusu Iran. Afe kwanza, mazungumzo watafanya wengine wenye akili na sio yeye na mahafidhina wanaompotosha.
Abaetaka mazungumzo ni US sio Iran
 
Nimeona waziri wa mambo ya nje abas anazungumza kwa heshima na adabu sana😁😁

Tofauti na wiki moja nyuma
Hali ni mbaya nimemsikia anasema wao Iran watasitisha mashambulizi endapo IAF itaacha kushusha makombora ndani ya Iran, hii sio kauli ya kawaida ni kauli ya kushindwa, kukata tamaa na kutia huruma
 
Back
Top Bottom