Hahahaha eti kunawaka moto,lete hapa hasara ya kimkakati iliyopata Israel zidi ya IranIran imekataa na haioshirikiana tena na IAEA.. wakati huo Haifa na Tel Aviv kunawaka moto..
Nilikwambia kurusha mapipa ili mradi yafike Israel hakutamzuia Yahudi kumpa pigo na kumchakaza IranIran imekataa na haioshirikiana tena na IAEA.. wakati huo Haifa na Tel Aviv kunawaka moto..
Iran sio walegevu hivyoTatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.
Wenye vinasaba vya Iran wakikusikia tu Mkuu umekwisha...nimekaa pale 🤭🙎Ni sawa ila Ayatollah hatoshuhudia tena mazungumzo yoyote ya kimataifa yanayoihusu Iran. Afe kwanza, mazungumzo watafanya wengine wenye akili na sio yeye na mahafidhina wanaompotosha.
Kichaa na kiburi ndio ile adabu waliyopata juzi mkuu kutoka Iran, mayahudi walijua Iran haitajibu watakaa tu na kufakari sasa ni kama wamepewa homework ama assignmentTatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.
Mtu makelele mengi anachokoza vita halafu anakimbilia ugiriki kujificha, israel haijawahi kupata kiongozi mjinga hiviTatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.
Waarabu na waajemi ni wajinga sana.Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept irrational demands under pressure or… sit at the negotiating table while the Zionist regime continues its attacks,” according to a readout shared by the Iranian presidency.
Abaetaka mazungumzo ni US sio IranNi sawa ila Ayatollah hatoshuhudia tena mazungumzo yoyote ya kimataifa yanayoihusu Iran. Afe kwanza, mazungumzo watafanya wengine wenye akili na sio yeye na mahafidhina wanaompotosha.
Hali ni mbaya nimemsikia anasema wao Iran watasitisha mashambulizi endapo IAF itaacha kushusha makombora ndani ya Iran, hii sio kauli ya kawaida ni kauli ya kushindwa, kukata tamaa na kutia hurumaNimeona waziri wa mambo ya nje abas anazungumza kwa heshima na adabu sana😁😁
Tofauti na wiki moja nyuma
They hit with power, precision and purposes ....3PsIsrael ni babalao they hits the target, soon bomu linatua kwa Yayatulah khemenay