Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

Mbona unatudanganya live we jamaa au sis hatujui kinachoendelea acha huo utoto humu Kila mtu kabaleghe.
 
Hali ni mbaya nimemsikia anasema wao Iran watasitisha mashambulizi endapo IAF itaacha kushusha makombora ndani ya Iran, hii sio kauli ya kawaida ni kauli ya kushindwa, kukata tamaa na kutia huruma
Waziri wa ulinzi wa israel Bat yam anasema bado wanakazi ya kuisafisha tehran kwa sasa wanahamisha wananchi wakae mbali

Nafikiri siku ya kesho au usiku itakuwa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…