Trump, kavurugwa alivyokuwa anatishia alidhani Iran watakaa kimya😂
Reuters iliripoti katika ripoti ya kipekee, ikinukuu vyanzo vyenye taarifa, kwamba Marekani inachunguza kama Urusi ilihusika katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Iran dhidi ya vituo vya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) katika nchi za Ghuba ya Uajemi.
Kulingana na vyanzo hivi, uchunguzi wa Marekani bado unaendelea na maafisa wa Marekani wanatathmini ushahidi na taarifa zilizopo kuhusu uwezekano wa Urusi kuhusika katika mashambulizi haya.
Maelezo rasmi ya vituo vinavyolengwa na CIA katika eneo hilo hayajatolewa. Ikulu ya White House na Pentagon hazijatoa habari yoyote kuhusu kulengwa kwa nafasi zao katika eneo hilo au majeruhi au hasara za kijeshi katika miezi minne iliyopita, na hata zimeagiza satelaiti za kibinafsi kudhibiti na kutochapisha picha za angani.
Nchi katika eneo hilo pia zimezuia na kudhibiti vikali ufikiaji huru wa vyombo vya habari na hata uwasilishaji wa ripoti za umma kutoka maeneo yaliyolengwa, na zimezuia uvujaji wa habari kwa adhabu kali - katika baadhi ya matukio hata tishio la adhabu ya kifo.
Hawana tofauti yoyote na Israel wengine tulijua kupitishwa kwa Sheria ya kuficha majanga pale Israel ni mipango ya Marekani👈
Marekani ktk vita vyake vyote wanaficha sana maafa yao!!!
Vile Vita na Sadam Hussain
Vikosi vya Sadam viliwakamata Wanajeshi wa Marekani na wengine waliouwawa kwenye mapigano wakawajaza rundo sehemu
Makamanda wa Iraqi wakatangaza mafanikio yao
habari mpya👈
Makamanda wa Marekani wakaja juu kuikana iyo taarifa wakadai ni propaganda ya Sadam Hussain👈
lkn hakuna Mwanajeshi wa Marekani mwenye kushikiliwa na Iraq💪
kusikia ivyo Bush meno yote nnje
wkt ule mapambano yanaendelea
Makamanda wa Iraq wakaona isiwe kesi
wakawaonesha kwenye TV wakapata aibu kubwa pamoja na Bush wao 😜
kutokea pale Marekani ikaanza kulenga vyombo vya habari vya Iraq lengo kuficha Dunia isijue chochote!!
Lkn Dunia iyoiyo ijue vile wao
wanawatwanga wengine !!🤔🤔