Mzee wa Uharo hilo halibadirishi kitu!! Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!🚨 Mengi yamebadilika katika miezi mitano iliyopita ya vita hivi.
Nchi nyingi za Ghuba sasa zinafanya mazungumzo ya nyuma na Iran. 👏🔥
Pia zinajadili mikataba na Iran ili kujilinda.
Wamegundua kuwa hawawezi tena kumudu uharibifu wowote zaidi kwa ajili ya Marekani na Israeli.
Wameelewa kwamba Iran ni mustakabali—sio Marekani.
View: https://x.com/24_70xu/status/2084980776194715826?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mzee wa Uharo.Mzee wa Uharo hilo halibadirishi kitu!! Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
Iran inakusudia kutoza ada ya 7% kwa "huduma za baharini" kwa meli zote za kibiashara zinazopita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz, sawa na sheria za Mfereji wa Suez. Ujumbe wa Marekani unaomba kiwango hicho kipunguzwe hadi 5%. Meli kutoka Urusi, China, na Iraq zitaondolewa ada hiyo.Mzee wa Uharo hilo halibadirishi kitu!! Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia na ndiyo maana wameweza kuweka Blockade huko Hormuz!!Mzee wa Uharo.
🇺🇸 Marekani ina Jeshi la Anga lenye nguvu zaidi duniani.
🇺🇸 Marekani ina Jeshi la Wanamaji lenye nguvu zaidi duniani.
🇺🇸 Marekani ina bajeti kubwa zaidi ya ulinzi duniani.
Lakini haikuweza kuishinda 🇮🇷 Iran, ambayo haina jeshi la anga la kisasa au jeshi la majini la kisasa.
Kwa kwenda vitani na 🇮🇷 Iran, Trump ameharibu kambi zote za Marekani katika eneo la Ghuba na, muhimu zaidi, uaminifu wa jeshi la Marekani.
Sasa imekuwa kitu zaidi ya mzaha.
View: https://x.com/24_70xu/status/2085102591273492493/video/1?s=46
Hatimaye🔥Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia na ndiyo maana wameweza kuweka Blockade huko Hormuz!!
Nimejaribu Kubadilisha Utawala IRAN 🇮🇷: IMESHINDWAMzee wa Uharo hilo halibadirishi kitu!! Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Athibitisha Mfumo wa Siku 60 wa Mlango-Bahari wa Hormuz wa Iran Uko Karibu UmekamilikaMzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini ukweli uko palepale Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!Nimejaribu Kubadilisha Utawala IRAN 🇮🇷: IMESHINDWA
Nilijaribu Kufungua HORMUZ 🇮🇷: IMESHINDWA
Nilijaribu Kusimamisha Ushuru HORMUZ🇮🇷: IMESHINDWA
Nilijaribu Kuiwekea Vikwazo IRAN🇮🇷: IMESHINDWA
Nilijaribu Kuchukua URANI 🇮🇷: IMESHINDWA
Nilijaribu Kuiharibu IRAN 🇮🇷: IMESHINDWA
DONAL TRUMP NDIYE RAIS MBAYA ZAIDI WA MAREKANI KATIKA HISTORIA
View: https://x.com/_infogram_/status/2085422346152919210?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mzee wa uharo Marekani hawezi kusindikiza kitu kutoka Hormuz maana kuna Blockade waliyoiweka wao!!Mzee wa Uharo lini Marekani na Israel wataanza kusindikiza misafara ya meli kupita Hormuz na ndege za kijeshi😂
Mzee wa Uharo.Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini ukweli uko palepale Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
Mzee wa Uharo shabiki mandazi anapigana na mabwana zake😂Mzee wa uharo Marekani hawezi kusindikiza kitu kutoka Hormuz maana kuna Blockade waliyoiweka wao!!