Mzee wa Uharo😂Silaha zote wanatengeneza wao cha kushangaza Marekani imeweka Blockade hukohuko Iran!!!
Inaondoa maana ya kuwa na silaha za kila aina!!
😂😂😂Silaha zote wanatengeneza wao cha kushangaza Marekani imeweka Blockade hukohuko Iran!!!
Inaondoa maana ya kuwa na silaha za kila aina!!
Narudia tena Iran hana uwezo wa kuua viongozi wa Israel wala Marekani wewe endelea tu kubwabwaja ovyo!!Sasa mabwana zako wanasema Iran hawana jeshi lolote sasa wanajificha nini kuogopa kufa😂
Hii ndiyo ukubwa wa mahali ambapo Trump mwoga alijificha wakati wa Operesheni "TACO".
Ambapo alihama kwa siri kutoka ndege ya "Rais" hadi ndege nyingine kwa kujificha kwenye mkokoteni wa chakula na vinywaji.
View: https://x.com/iraninarabic_ir/status/2087855305170268532?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mtabwabwaja sana tu lakini Blockade ya Marekani iko pale pale tu!!Mzee wa Uharo😂
Kutoka regime change, kuzuia makombora, kuzuia nyuklia, kuzua kuuza mafuta kufungua mlango wa Hormuz sasa ushindi wa Marekani na Israel ni blockade😂
Iran wamesema hiyo blockade iendelee tu lakini hamna kupita Hormuz na hawataki mazunguzo yeyote hadi muhula wa Trump uishe sijui hawambia nini wapiga kura wake😂
Mzee wa Uharo hayo siyo marengo ya Iran.Narudia tena Iran hana uwezo wa kuua viongozi wa Israel wala Marekani wewe endelea tu kubwabwaja ovyo!!
Mimi ndiye rais bora zaidi duniani kote 🤣🤣🤣🤣🤣Narudia tena Iran hana uwezo wa kuua viongozi wa Israel wala Marekani wewe endelea tu kubwabwaja ovyo!!
⚡️BREAKING: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru Vikosi vya Jeshi kufanya Operesheni za Mashambulizi ikiwa Mahitaji ya Iran hayatatimizwaMtabwabwaja sana tu lakini Blockade ya Marekani iko pale pale tu!!
Mzee wa Uharo iran anapigika kiuchumi na kijeshi !!!Mzee wa Uharo hayo siyo marengo ya Iran.
Iran, majibu yake ni kutoa hasara kwa dunia nzima kama sasa unavyoona Mlango wa Hormuz umefungwa😂
View: https://x.com/donwinslow/status/2088019801734340648/video/1?s=46
Hahahaha Mzee wa Uharo nimecheka sana.Mzee wa Uharo iran anapigika kiuchumi na kijeshi !!!
🇺🇸 TRUMP : "Tunadhibiti kabisa Mlango-Bahari wa Hormuz."Mzee wa Uharo iran anapigika kiuchumi na kijeshi !!!
⛔️Maelfu ya Mabaharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani Wanakabiliwa na Uhaba wa Chakula kwenye Meli ya USS Abraham LincolnMtabwabwaja sana tu lakini Blockade ya Marekani iko pale pale tu!!
Vikosi vya jeshi vya Iran vilimjibu Trump:Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!