Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
.
BREAKING: 🇮🇷🇺🇸 Iran iliuza mafuta yenye thamani ya dola bilioni 7.5 katika robo ya kwanza ya 2026Safari hii mtanyooka tu!!
Chizi😂😂😂Iranian wamejua kucheza na Akili za uyu Kibabu cha kilokole👈
Kwasasa hanajuta kwanini kachagua Vita mana vimeidhalilisha Marekani na Ulaya kwa pamoja🤔✍️
Jenerali wa Iran Mohammad Reza Naqdi kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz:Safari hii mtanyooka tu!!
BREAKING: 🇮🇷🇺🇸 Iran iliuza mafuta yenye thamani ya dola bilioni 7.5 katika robo ya kwanza ya 2026
150% zaidi ya mwaka jana, licha ya kizuizi cha jeshi la majini la Marekani
Wizara ya Mafuta ya Iran ilitangaza - Fars
View: https://x.com/megatron_ron/status/2090052130547605665?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hii Ni Hadithi Nzuri Tu 🔥Mzee wa Uharo Endeleeni tu kujifariji Hormuz kuna Naval Blockade ya Marekani hakipiti kitu hapo!!
🇮🇷 IRGC inasema mashambulizi yake ya makombora yatakuwa na uharibifu mkubwa zaidi kuliko kitu chochote ambacho Iran imerusha hapo awali.
Msemaji Sardar Mohebbi alisema Iran bado inapanua silaha zake na itazindua silaha mpya zenye masafa marefu, usahihi na nguvu ya vichwa vya vita ikiwa mzozo utaibuka tena.
Kwa muktadha, Iran imetishia kutumia silaha nyingi zaidi za uharibifu mara nyingi kadri Trump alivyotangaza ushindi
Chanzo: Al Jazeera / Waandishi: Julie, Ian
View: https://x.com/marionawfal/status/2090375789946827137?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hii ni Sinema KABISA 🔥Mzee wa UHARO katika Copy & Paste
Mzee wa Uharo Endeleeni tu kujifariji Hormuz kuna Naval Blockade ya Marekani hakipiti kitu hapo!!