Trump vitisho vimeisha na mikwala imeisha yote sasa hivi anasema ataiwekea vikwazo vya kiuchumi 😂
😂😂😂Wanataka kuamia Cuba japo wazoe pwent za Uchaguzi wa Nov!!!!!!!
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani🤣Vikwazo kwasasa vitabuma Sababu Iranian kashatangaza yoyote mwenye kuifata vikwazo vya Marekani ajue Hormuz hawezi pita👈
Sababu wameweka wazi vikwazo sio vya UN 👈
ni vya Taifa moja tu Marekani wanawawekea kwa Utashi wao tu👈
vikwazo vinaenda kupoteza nguvu kabisa✍️
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani🤣
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani🤣
Ikulu ya Marekani aibu wanaona wao wana kauli ya Trump kutanga Hormuz sehemu ya Marekani alikuwa anatania😂Babu kachoka Akili 🤠🤠
Rais unategemea Jeshi lako
Mana zaman ilikuwa ndio bit yake machaguo yote yapo mezani 👈
Mwisho kachagua kupitia Jeshi kapigika👈
na Wajeda wake wakubwa wanamkimbia!🤠🤠
🇺🇸 Trump: "Mlango-Bahari wa Hormuz unapaswa kuwa eneo la Marekani."Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Saudi Arabia kaenda kutafuta Usalama Uturuki na Pakistan baada kujionea kwa macho yao Baba yao mtetezi akifinyangwa na Iranian🤠🤠
🇺🇸 Marco Rubio sasa anaitaka 🇺🇳 Umoja wa Mataifa kuchukua hatua dhidi ya 🇮🇷 Iran, akiishutumu kwa kukiuka sheria za kimataifa kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani katika Ghuba na kuzuia Mlango-Bahari wa Hormuz.
Unafiki huo hauaminiki. 😂
Wasiwasi huu wote kuhusu sheria za kimataifa ulikuwa wapi wakati 🇺🇸 Marekani ilipoweka kizuizi dhidi ya Cuba? Je, huo haukuwa ukiukaji wa sheria za kimataifa?
Na vipi kuhusu kumteka nyara rais wa Venezuela? Je, sheria za kimataifa ghafla hazikuwa na umuhimu wakati huo?
Sheria za kimataifa ghafla zina umuhimu zinapowaathiri. 🤢
View: https://x.com/24_70xu/status/2088925141564899744?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Endeleeni kujifariji tu lakini Hormuz hapapiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia
Safari hii mtanyooka tu!!Kiranja wa Dunia ilikiwa sio sasa
Sasa kiranja kuzuiwa kupita pale Hormuz
Cha kufanya hana kaenda kupiga kelele UN 🫎🫎🤠🤠
😂😂😂Safari hii mtanyooka tu!!
USHINDI MWINGINE KWA IRANSafari hii mtanyooka tu!!
USHINDI MWINGINE KWA IRAN
Pentagon Yapima Uzito Wa Kuondoa Vikosi vya Marekani Nje ya Ghuba
Miezi kadhaa ya mashambulizi ya Iran yameharibu au kuharibu zaidi ya vituo 200 vya Marekani, na kulazimisha Pentagon kuzingatia kama baadhi ya vituo vinapaswa hata kujengwa upya.
Kwa miongo kadhaa, Iran imekuwa IKIWATAKIA wanajeshi wa Marekani kuondoka katika eneo hilo. Vita hivi huenda vikaisukuma Washington karibu kufanya hivyo.
Kwa kawaida CENTCOM huweka takriban wanajeshi 40,000 katika maeneo karibu 20 ya kikanda, lakini maafisa sasa wanachunguza mabadiliko ya kudumu kutoka nafasi zilizo hatarini za Ghuba.
View: https://x.com/ryanrozbiani/status/2089737329954996447?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw