Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Wanataka kuamia Cuba japo wazoe pwent za Uchaguzi wa Nov!!!!!!!
 
Trump vitisho vimeisha na mikwala imeisha yote sasa hivi anasema ataiwekea vikwazo vya kiuchumi ๐Ÿ˜‚
 
Trump vitisho vimeisha na mikwala imeisha yote sasa hivi anasema ataiwekea vikwazo vya kiuchumi ๐Ÿ˜‚

Vikwazo kwasasa vitabuma Sababu Iranian kashatangaza yoyote mwenye kuifata vikwazo vya Marekani ajue Hormuz hawezi pita๐Ÿ‘ˆ

Sababu wameweka wazi vikwazo sio vya UN ๐Ÿ‘ˆ
ni vya Taifa moja tu Marekani wanawawekea kwa Utashi wao tu๐Ÿ‘ˆ

vikwazo vinaenda kupoteza nguvu kabisaโœ๏ธ
 
Wanataka kuamia Cuba japo wazoe pwent za Uchaguzi wa Nov!!!!!!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Trump kachanganyikiwa.

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hivi karibuni atatangaza Mlango Bahari wa Hormuz kuwa sehemu ya eneo la Marekani, akidai kuwa Iran imeathirika vibaya na vita vilivyotokea eneo hilo.
โ€œBaada ya kuishinda Iran, ambayo sasa imeathirika vibaya,hivi karibuni nitatangaza Mlango Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani,โ€ Trump alisema katika mkutano wa kisiasa mjini New York.
 
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani๐Ÿคฃ
 
Saudi Arabia kaenda kutafuta Usalama Uturuki na Pakistan baada kujionea kwa macho yao Baba yao mtetezi akifinyangwa na Iranian๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani๐Ÿคฃ

Mzee Mbishi sana ๐Ÿค ๐Ÿค 

yule ndiomana Wakubwa wa Jeshi pale Pentagon wanamkimbia

hasomeki uyu Babu Trump
Kila akiamka asubuhi anakuja na jambo jipya ๐Ÿซก๐Ÿซก
 
Kutoka regime change hadi kutangazq Hormuz eneo la Marekani๐Ÿคฃ

Babu kachoka Akili ๐Ÿค ๐Ÿค 

Rais unategemea Jeshi lako
Mana zaman ilikuwa ndio bit yake machaguo yote yapo mezani ๐Ÿ‘ˆ


Mwisho kachagua kupitia Jeshi kapigika๐Ÿ‘ˆ

na Wajeda wake wakubwa wanamkimbia!๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Babu kachoka Akili ๐Ÿค ๐Ÿค 

Rais unategemea Jeshi lako
Mana zaman ilikuwa ndio bit yake machaguo yote yapo mezani ๐Ÿ‘ˆ


Mwisho kachagua kupitia Jeshi kapigika๐Ÿ‘ˆ

na Wajeda wake wakubwa wanamkimbia!๐Ÿค ๐Ÿค 
Ikulu ya Marekani aibu wanaona wao wana kauli ya Trump kutanga Hormuz sehemu ya Marekani alikuwa anatania๐Ÿ˜‚
 
Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Trump: "Mlango-Bahari wa Hormuz unapaswa kuwa eneo la Marekani."

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran: "Samahani... sema hivyo tena?"

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Trump Saa 2 baadaye: "Tulia, nilikuwa natania." ๐Ÿ˜‚

Bro kweli aligeuza sera ya kigeni ya Marekani kuwa utaratibu wa kuchekesha.

Ikulu ya White House au klabu ya vichekesho? ๐Ÿคก

View: https://x.com/realaraghchi/status/2089082234141831490?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Jenerali Mkuu wa Jeshi la Iran Hatami:

"Kufukuzwa kwa Marekani kumefanywa, na hawaruhusiwi tena kuingia Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman, na Mlango-Bahari wa Hormuz.

Kila mtu anapaswa kujua kwamba kambi za Marekani HAZITAWEZA KUREJEA katika jimbo lao la awali, na Iran haitaruhusu hili kutokea."

Mataifa mengi ya Ghuba yatafikiria upya ushirikiano wao katika miezi na miaka ijayo. Ushawishi wa Marekani katika eneo hilo umepungua SANA kutokana na vita hivi...

Pia ningefuatilia kwa karibu Mkataba wa Abraham kwa wakati huu.

Mwandishi: Jamie x.com/clashreport/stโ€ฆ


View: https://x.com/marionawfal/status/2088996702720282907?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Saudi Arabia kaenda kutafuta Usalama Uturuki na Pakistan baada kujionea kwa macho yao Baba yao mtetezi akifinyangwa na Iranian๐Ÿค ๐Ÿค 

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Marco Rubio sasa anaitaka ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ณ Umoja wa Mataifa kuchukua hatua dhidi ya ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran, akiishutumu kwa kukiuka sheria za kimataifa kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani katika Ghuba na kuzuia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Unafiki huo hauaminiki. ๐Ÿ˜‚

Wasiwasi huu wote kuhusu sheria za kimataifa ulikuwa wapi wakati ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Marekani ilipoweka kizuizi dhidi ya Cuba? Je, huo haukuwa ukiukaji wa sheria za kimataifa?

Na vipi kuhusu kumteka nyara rais wa Venezuela? Je, sheria za kimataifa ghafla hazikuwa na umuhimu wakati huo?

Sheria za kimataifa ghafla zina umuhimu zinapowaathiri. ๐Ÿคข


View: https://x.com/24_70xu/status/2088925141564899744?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Endeleeni kujifariji tu lakini Hormuz hapapiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia
 
Endeleeni kujifariji tu lakini Hormuz hapapiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia

Kiranja wa Dunia ilikuwa sio sasa

Sasa kiranja kazuhiwa kupita pale Hormuz
Cha kufanya hana kaenda kupiga kelele UN ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Kiranja wa Dunia ilikiwa sio sasa

Sasa kiranja kuzuiwa kupita pale Hormuz
Cha kufanya hana kaenda kupiga kelele UN ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐Ÿค ๐Ÿค 
Safari hii mtanyooka tu!!
 
Safari hii mtanyooka tu!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Spika wa Bunge la Iran Ghalibaf anadhihaki timu ya mazungumzo ya Marekani na kukataa shinikizo zaidi la masharti mapya:

"Wamarekani wanafikiri kuikandamiza Iran zaidi kutashinda makubaliano ambayo hayakuwahi kuwa sehemu ya makubaliano.

Bessent na Hegseth wametoka nje ya ligi yao. Acha kusubiri wafanyakazi wa vichekesho watoe sungura kutoka kwenye kofia yao na kusafisha fujo uliyoifanya."

Hakuna dalili za kurudi nyuma.

Mwandishi: Oliver

View: https://x.com/marionawfal/status/2089763301572083713?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Safari hii mtanyooka tu!!
USHINDI MWINGINE KWA IRAN

Pentagon Yapima Uzito Wa Kuondoa Vikosi vya Marekani Nje ya Ghuba

Miezi kadhaa ya mashambulizi ya Iran yameharibu au kuharibu zaidi ya vituo 200 vya Marekani, na kulazimisha Pentagon kuzingatia kama baadhi ya vituo vinapaswa hata kujengwa upya.

Kwa miongo kadhaa, Iran imekuwa IKIWATAKIA wanajeshi wa Marekani kuondoka katika eneo hilo. Vita hivi huenda vikaisukuma Washington karibu kufanya hivyo.

Kwa kawaida CENTCOM huweka takriban wanajeshi 40,000 katika maeneo karibu 20 ya kikanda, lakini maafisa sasa wanachunguza mabadiliko ya kudumu kutoka nafasi zilizo hatarini za Ghuba.

View: https://x.com/ryanrozbiani/status/2089737329954996447?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 

Ndio wanasepa mazima mana sioni wataweka wapi Base zao sehemu Salama ili kuwadanganya Gulf States kuwa
wapo kuwalinda wao๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ