Iran yashika meli ya Marekani jirani na Oman. Ni kulipiza kisasi dhidi ya ubabe wa US

wazungu huanza kutengeneza mapicha kama haya hili muda unapofika mtu ale kisago cha usawa wake , hata Gadaf walimpamba hv hv na Sadam pia walimpamba...
Putin walimvimbisha kichwa hivi hivi, akabeba Crimea, wakamsifia sana kwamba Putin ni mtu wa kuogopwa.

Putin akajiona ni kweli wanamuogopa, akataka aivamie Ukraine, akatoa mkwara mazito kwamba atakayesaidia Ukraine atakutana na mkono mzito wa Russia, alisema hivyo akiamini hakuna atakayekubali kuisaidia Ukraine, asijue ya kwamba wenzie ndo wanammezesha ndoano.

Licha ya mikwara na sifa zote ambazo walimpa, haohao wazungu bila kificho ndio wanapeleka misaada Ukraine kurefusha vita na Putin amekaa kimya hana la kuwafanya.
 
Inanekana unawahusudu sana Wazungu mkongwe!
 
Kwani vita vimefikia wapi.Na jee Urusi hajawaadhibu hao waliomsaidia Ukraine.
White house imetoa tamko rasmi kuwa imeishiwa pesa na silaha za kusiaidia Ukraine
Huoni kuwa kitisho cha Urusi kimefanikiwa na pamoja na kwamba Ukraine wanapiga hapa na pale hawajarudisha Crimea wala mji wowote uliotwaliwa na Urusi.
Kibaya ni kuwa Ukraine ilikuwa nchi tajiri sana ya viwanda na kilimo lakini kwa sasa sehemu zote za uchumi zimechukuliwa na Urusi na wamebaki na mashamba kidogo ya ngano basi
 
Tutajijua wenyewe tutakavyoishi ila israhell maadam anaua watu ghaza sahau meli kupita na kutoka ama kuingia israhell

Vipi baada ya hio warning kuna meli zozote ziliingia ama kutoka israhell mzee???
Raia wa Dunia wasiohusika na hiyo vita kwanini maisha yetu yapandishwe na hao Waarabu?

Kwanini wao wananchi 17 za Kiarabu zisiwasaidie wenzao kwanini hao wahouthi wasiende Gaza kupigana mbona wanataka kutupandishia maisha?

Wakati wa vita ya Ukraine na Russia Saudi Arabia na Waarabu wenzake waliongeza bei ya mafuta na ndio haya mateso tunayopata mpaka leo hapa Afrika.

Na sasa wanaanza kushambulia Meli za Mizigo
 
Ndio maisha yapo hivyo mzee hata tulalamikeje haitasaidia

Nikua wapole tuuuu
 
Dini imekufanya Mtumwa ushauri wangu Houthi waendelee kupigwa.
Pole kijana

Hakuna meli itapita kuelekea ama kutoka israhell

Labda hizo meli zipae kama zinaweza kama haziwezi zitakula tu vyuma yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…