Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

Wailipue wakati huwa wanataka waiteke iwe ndani ya himaya yao wakidai saudi arabia imeruhusu makafiri kukanyaga ardhi takatifu, huoni nao watakosa wanachokitaka?
 
WACHA UONGO HAUKUFAI.
IRAN NI WAISLAM NA WAO HUENDA MAKKAH KUHIJJI. HAWAWEZI KULIPUA MJI MTAKATIFU ACHILIA BALI KAABAH.
NA IRAN HAIKUTAMKA HIKO KITU.
Iran ni mashia na Ushia ni dini inayojitosheleza sio Uislamu

Hivi ushawahi kusikia adhana ya kishia wewe?
 
Wailipue wakati huwa wanataka waiteke iwe ndani ya himaya yao wakidai saudi arabia imeruhusu makafiri kukanyaga ardhi takatifu, huoni nao watakosa wanachokitaka?
Kunguru Mwoga, hapaswi kutishia aanatakiwa awe ameshalipua
 
Angalia huyu pumbavu wa kigalatia nani alikwambia Iran ni waarabu!

Hii ndio shida ya kuabudu sanamu la Maria!
 
Angalia huyu pumbavu wa kigalatia nani alikwambia Iran ni waarabu!

Hii ndio shida ya kuabudu sanamu la Maria!
unataka kusema ni wahindi, wachina wale? Wale ni waarabu na wapo arab league nations, hiyo class mtasema hata uturuki si waarabu
 
Mababu Iran Waarabu toka lini tena?
 
unataka kusema ni wahindi, wachina wale? Wale ni waarabu na wapo arab league nations, hiyo class mtasema hata uturuki si waarabu
Nina uhakika hata Madrasa hawafundishi Iran na Waturuki ni Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…