Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

Mbona wanachelewa nikajua wamesha lipua, uzuri ni sehemu ya kuabudia nina imani hata mabomu yakifika tu yatazimika na kuanguka yenyewe kama matawi ya miti kimiujizaaaa
 
Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake.

Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
Lanakuallah
 
Nimewaambia watu siku zote Iran na Saudi Arabia ni maadui wakubwa kuliko Iran na Israeli, watu wanabisha wanafikiri kwa sababu wote waarabu alafu wanavaa sare ya kobazi basi sio kweli..ila Saudi Arabia ndio inamforce US ahakikishe Iran haipati Nuclear, waliapa Iran akiwa na nuclear lazima na wao watengeneze na vita itatokea
IRAN siyo waarabu mkuu
 
Mkuu, kwanza kabisa Wairan yaani waajemi sio Waarabu....hata kiarabu sio lugha yao! Uislamu umepelekwa huko kama ulivyoletwa Tanganyika!

Before Islam, the primary religion of ancient Persia was Zoroastrianism, one of the world's oldest monotheistic faiths founded by the prophet Zarathustra (Zoroaster) in the 6th century BCE. It was the official state religion of major Persian empires, including the Achaemenid and Sasanian Empires, centered on the worship of the supreme creator god,

Nchi hiyo ilitangazwa ya Kiislamu na hao kina Ayatollah! Na hata walipogeukia Uislamu wao wakawa ni dhehebu la Uislamu tofauti na ule kwenye kitovu yaani Saudia! Bila Msaada wa Marekani, Iran ingeusambaratisha Uislamu wa Saudia! Hilo ndilo lengo lake la msingi!
 
Nimewaambia watu siku zote Iran na Saudi Arabia ni maadui wakubwa kuliko Iran na Israeli, watu wanabisha wanafikiri kwa sababu wote waarabu alafu wanavaa sare ya kobazi basi sio kweli..ila Saudi Arabia ndio inamforce US ahakikishe Iran haipati Nuclear, waliapa Iran akiwa na nuclear lazima na wao watengeneze na vita itatokea
'Saud Arabia na Iran wote ni waarabu'!
Hili limetokea tangu lini!
 
Back
Top Bottom