Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #41
Anamtongoza marekani awe front marekani kachomoa amemind sana Jana ilikua waziri wa ulinzi aende marekani kubembeleza Netanyahu Katia kiburi kamzuia asiende.Israel kimyaa. Kafyata mkia kama mbwa koko wa tandale. ππ
Wakati unaandika huu utumbo kuna nchi za kisunni kama Qatar na Oman zimeikaribisha Iran na zimekubaliana nayo kufanya biashara.It's time all Sunni Arab states united against their common enemy, the Shia terrorist state and the head of the π @khamenei_ir IRGC regime to help Israel get the job done to dismantle and replace the regime to enable peace to prevail in the middle east...
Iran sio nyepesi kama unavyodhani.Iran anajua kuwa kwenye vita na USA Shah watarudi madarakani
Wajaribu sasa waoneThubutu, debe tupu..
Yaani yeye iran ametumia anga la saudia iraq, jordan, misri kuishambulia israel na mabalstic yake halafu israel asitumie anga yeyote huu ni upuuzi?Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Ameshajiona ndio kiranja wa wavaa kobazi wote ?Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Dogo, kwa biashara tu hata sisi tunawakaribisha, usijaliWakati unaandika huu utumbo kuna nchi za kisunni kama Qatar na Oman zimeikaribisha Iran na zimekubaliana nayo kufanya biashara.
Nyonzooo nyoooonzooooo maaamaeee nyonzooo bin mvule. Aiii inyaaa NETANYAHU AKBARTusubiri maoni kutoka kwa walokole wa uswahilini wanaosali kwenye yale makanisa mabati na viti vya baa, maana wale huwaelezi kitu kuhusu taifa teule
Unatamani sio?Huwa natamani sana kibaraka wa Israel na marekani Saud Arabia na mwenzake Jordan wapigwe na Iran mpaka wachakazwe.
Yani itanatia aibu sana mkuu kuona jinsi graduates wa Tanzania walivyoweupe upstairs, haswa katika mambo madogo kama haya. The problem is vijana hawana utamaduni wa kujisomea. Wao wakishamaliza shule, ni mpira, umbea, na kubeti. Mtu hata anashindwa kujua simple facts!.Wakati unaandika huu utumbo kuna nchi za kisunni kama Qatar na Oman zimeikaribisha Iran na zimekubaliana nayo kufanya biashara.
Haha,Wajaribu sasa waone
Habari haisemi Israel kutumia anga bali inasema Marekani kutumia anga.Yaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Usiseme Iran sema the Islamic regime, common Iranians hawana shida na Israel.Iran anajua kuwa kwenye vita na USA Shah watarudi madarakani
Yani wanachukulia mambo rahisi rahisi hivyo.Yani itanatia aibu sana mkuu kuona jinsi graduates wa Tanzania walivyoweupe upstairs, haswa katika mambo madogo kama haya. The problem is vijana hawana utamaduni wa kujisomea. Wao wakishamaliza shule, ni mpira, umbea, na kubeti. Mtu hata anashindwa kujua simple facts!.
Acha mambo ya Nasrallah kawaacha vijana wake Wanaendelea kukiwasha tunaongelea Iran kwa sasa.Haha,
Dogo, Nasrallah alitishia zaidi ya wewe hapa π
Hasara to which levels? Iran wali declare kuwa wanahusika na hizo attack?Taarifa zilitoka mkuu katika vyombo vya habari tofauti na hasara ilitangazwa.
Sawa Saudi Arabia hakuacha kuzalisha mafuta,ila ikubalike hasara ya billions of dollars ilipatikanika.
Na hayo mashambulizi ndio yaliyochagiza Saudi Arabia kuondoa vikosi vyake Yemeni na kukubali kukaa mezani kumaliza uhasama na Houthi.
*Unakizungumziaje kinachoendelea Baab Al mandib!?
Je Iran ikiamua kufanya hivyo na strait of Hormuz!?
Usilete general implication mkuu.
Kila mtu ameona kinachojiri red sea kwa washirika wanaomsaidia Israel.