Toka October 7, 2023 Hezbullah wamekuwa wakirusha makombora kaskazini Israel, hakujibiwa kwa nguvu kama hii ya sasa. Wamejibiwa wanaomba ceasefire.Soon gani hiyo ambayo unatandikwa Kila siku lakini una kazi ya kusema soon tumechoka kusubiria
Wakishashambuliwa na wamarekani na waisraeli, watakuwa na uwezo wa kuzishambulia hizo Gulf states?Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Kama Hezbollah anashambuliwa na israeli na anajibu mapigo unashanga Iran nyie watu vipiWakishashambuliwa na wamarekani na waisraeli, watakuwa na uwezo wa kuzishambulia hizo Gulf states?
Wewe unadhani Hezbollah hawajibu?Toka October 7, 2023 Hezbullah wamekuwa wakirusha makombora kaskazini Israel, hakujibiwa kwa nguvu kama hii ya sasa. Wamejibiwa wanaomba ceasefire.
Kuwa makini na soon yako, mipango ya vita sio sawa na mipango ya kuagiza ubwabwa maharage kwa mama lishe.
😂😂😂 ambaye halali ni Israel anapiga mahesabu huyu jamaa nikijaribu itakuwaje?Hii sasa ni rasmi, Iran hawalali kwa uoga na hofu ya kushambuliwa.
Waambieni, hao persians, Waebrania hawana nia ya kuwashambulia, waache kujinyeanyea.
Russia anatimiza ahadi yake alisema mkiisaidia Ukraine na yeye atasaidia maadui wa marekani na NATO na ndio anachokifanya kwa sasa.Hata Russia alitoa onyo kama hili, lakini halikutiliwa maanani na wanaume, bado wanatoa misaada ya kijeshi huko Ukraine
Maneno ya mipasho ya kongo moko hayo anga zitatumiwa zikitakiwa na Iran hatofanya chochoteIran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Iran alianzisha ugomvi wake huko sasa anataka ajifiche kati kati ya nchi nyingine ili asiguswe. Mengine yatazungumzwa baada ya kipigo. Ule mkwara mbuzi kuwa Lebanon ikivamiwa ataingilia kati umefikia wapi?Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Kituo kinachofuata baada ya Beirut ni Tehran
Wajaribu sasa tuoneManeno ya mipasho ya kongo moko hayo anga zitatumiwa zikitakiwa na Iran hatofanya chochote
Tunasubiri Israel ajibu kwa sasa maneno matupu hayatusaidii. Iran keshapiga Israel ajibu sasa tuoneIran alianzisha ugomvi wake huko sasa anataka ajifiche kati kati ya nchi nyingine ili asiguswe. Mengine yatazungumzwa baada ya kipigo. Ule mkwara mbuzi kuwa Lebanon ikivamiwa ataingilia kati umefikia wapi?
Unadhaniaje sasa wakati wanajibu na kila siku unasikia na kuonaWewe unadhani Hezbollah hawajibu?
Iran ndio kazifanya hizo nchi ziwe masikini?. Iraq ilivamiwa na nani 2002?. Syria nayo hukumbuki ilivamiwa na nani?. Yemeni Je?. Na Lebanon nayo hufahamu pia?. Basi wewe utakua na akili nyingi.Iran ni Washia wanalengo za kuzifanya nchi zote za Middle East maskini na failed states Kama Yemen, Syria, Iraq na Lebanon
SafiUnadhaniaje sasa wakati wanajibu na kila siku unasikia na kuona
Iraq na Iran wamepigana Miaka zaidi ya 8 sababu, Iran ilikuwa inataka kupindua Serikali ya Kisunni aweke Puppets wakeIran ndio kazifanya hizo nchi ziwe masikini?. Iraq ilivamiwa na nani 2002?. Syria nayo hukumbuki ilivamiwa na nani?. Yemeni Je?. Na Lebanon nayo hufahamu pia?. Basi wewe utakua na akili nyingi.
Unajua kuwa Yemen Miaka ya 90 ilikuwa ni Nchi mbili tofauti na unajua Msingi wa Vita inayoendelea YemenIran ndio kazifanya hizo nchi ziwe masikini?. Iraq ilivamiwa na nani 2002?. Syria nayo hukumbuki ilivamiwa na nani?. Yemeni Je?. Na Lebanon nayo hufahamu pia?. Basi wewe utakua na akili nyingi.
Asichotaka Iran ni makombora kurushwa kutokea ndani ya nchi nyingine tofauti na Israel. Kwa mfano base za USA zilizopo Saudia zimshambulie Iran kutokea Saudia hapo Iran atashambulia Moja kwa moja makombora yalikotokea. Nadhani umeelewa.Yaani yeye iran ametumia anga la saudia iraq, jordan, misri kuishambulia israel na mabalstic yake halafu israel asitumie anga yeyote huu ni upuuzi?
Nani kazifanya hizo nchi ziwe masikini kati ya USA na IRAN?.Iraq na Iran wamepigana Miaka zaidi ya 8 sababu, Iran ilikuwa inataka kupindua Serikali ya Kisunni aweke Puppets wake
Vita ya 2003 ni sababu tofauti sana na anachotaka Iran kwenye mataifa ya Kiarabu
Nani alipeleka majeshi Yemen juzi tu hapo akisaidiwa na USA Ili kupambana na Houth?. Mbona kwa sasa Yemen hakuna fujo?.Unajua kuwa Yemen Miaka ya 90 ilikuwa ni Nchi mbili tofauti na unajua Msingi wa Vita inayoendelea Yemen