Iran yatoa Onyo kwa nchi yoyote ya Kiarabu itakayoruhusu Israel na Marekani kutumia anga au ardhi yake kushambulia Iran itaadhibiwa vikali

Soon gani hiyo ambayo unatandikwa Kila siku lakini una kazi ya kusema soon tumechoka kusubiria
Toka October 7, 2023 Hezbullah wamekuwa wakirusha makombora kaskazini Israel, hakujibiwa kwa nguvu kama hii ya sasa. Wamejibiwa wanaomba ceasefire.

Kuwa makini na soon yako, mipango ya vita sio sawa na mipango ya kuagiza ubwabwa maharage kwa mama lishe.
 
Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.

Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.

Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati

Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf

Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.

Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.

Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.

Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .

Wakishashambuliwa na wamarekani na waisraeli, watakuwa na uwezo wa kuzishambulia hizo Gulf states?
 
Toka October 7, 2023 Hezbullah wamekuwa wakirusha makombora kaskazini Israel, hakujibiwa kwa nguvu kama hii ya sasa. Wamejibiwa wanaomba ceasefire.

Kuwa makini na soon yako, mipango ya vita sio sawa na mipango ya kuagiza ubwabwa maharage kwa mama lishe.
Wewe unadhani Hezbollah hawajibu?
 
Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.

Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.

Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati

Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf

Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.

Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.

Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.

Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .

Maneno ya mipasho ya kongo moko hayo anga zitatumiwa zikitakiwa na Iran hatofanya chochote
 
Iran alianzisha ugomvi wake huko sasa anataka ajifiche kati kati ya nchi nyingine ili asiguswe. Mengine yatazungumzwa baada ya kipigo. Ule mkwara mbuzi kuwa Lebanon ikivamiwa ataingilia kati umefikia wapi?
 
Tunasubiri Israel ajibu kwa sasa maneno matupu hayatusaidii. Iran keshapiga Israel ajibu sasa tuone
 
Iran ni Washia wanalengo za kuzifanya nchi zote za Middle East maskini na failed states Kama Yemen, Syria, Iraq na Lebanon
Iran ndio kazifanya hizo nchi ziwe masikini?. Iraq ilivamiwa na nani 2002?. Syria nayo hukumbuki ilivamiwa na nani?. Yemeni Je?. Na Lebanon nayo hufahamu pia?. Basi wewe utakua na akili nyingi.
 
Iraq na Iran wamepigana Miaka zaidi ya 8 sababu, Iran ilikuwa inataka kupindua Serikali ya Kisunni aweke Puppets wake

Vita ya 2003 ni sababu tofauti sana na anachotaka Iran kwenye mataifa ya Kiarabu
 
Iran ndio kazifanya hizo nchi ziwe masikini?. Iraq ilivamiwa na nani 2002?. Syria nayo hukumbuki ilivamiwa na nani?. Yemeni Je?. Na Lebanon nayo hufahamu pia?. Basi wewe utakua na akili nyingi.
Unajua kuwa Yemen Miaka ya 90 ilikuwa ni Nchi mbili tofauti na unajua Msingi wa Vita inayoendelea Yemen
 
Yaani yeye iran ametumia anga la saudia iraq, jordan, misri kuishambulia israel na mabalstic yake halafu israel asitumie anga yeyote huu ni upuuzi?
Asichotaka Iran ni makombora kurushwa kutokea ndani ya nchi nyingine tofauti na Israel. Kwa mfano base za USA zilizopo Saudia zimshambulie Iran kutokea Saudia hapo Iran atashambulia Moja kwa moja makombora yalikotokea. Nadhani umeelewa.
 
Back
Top Bottom