Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #61
Kawapa ONYO wavaa kobazi anajuwa wanashoboka sana mashoga.Ameshajiona ndio kiranja wa wavaa kobazi wote ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawapa ONYO wavaa kobazi anajuwa wanashoboka sana mashoga.Ameshajiona ndio kiranja wa wavaa kobazi wote ?
Kama ni Shia hawa Sunni kwa nini wasingefanya kama anachokifanya Shia ili kuleta huo mustakabali mzuri unaouona wewe?Iran ni Washia wanalengo za kuzifanya nchi zote za Middle East maskini na failed states Kama Yemen, Syria, Iraq na Lebanon
Hana uwezo wa kuwapangia watu cha kufanya kama ambavyo yeye hataki kupangiwa.Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Jordan hakuna jeshi pale na Saudi Arabia ndiyo kabisa hakuna jeshi.Sawa,
Israel, Jordan na Saudi Arabia ni kitu kimoja pia, so Ayatollah atulie
ka nchi kadogo kamejaliwa mziki wake wakubwa wananyoosha mikonoAyatollah aache kulia lia bila mpangilio. Asubiri kunyolewa kama mwenzie Nasrallah..
View attachment 3119621
Lengo kuu la Mapinduzi ya Iran ni kuyahamishia kwenye nchi zote zenye Ufalme.Kama ni Shia hawa Sunni kwa nini wasingefanya kama anachokifanya Shia ili kuleta huo mustakabali mzuri unaouona wewe?
Unajua Saudi Arabia kuna propaganda inazieneza kwa kutumia madhheb ya Salafi kuhusu Iran na kinachoendelea ME.Wakati unaandika huu utumbo kuna nchi za kisunni kama Qatar na Oman zimeikaribisha Iran na zimekubaliana nayo kufanya biashara.
Hamas ni Sunni au Shia ?Lengo kuu la Mapinduzi ya Iran ni kuyahamishia kwenye nchi zote zenye Ufalme.
Baada ya kuhamisha ni kuzifanya hizo Nchi ziongozwe na Washia wenzao.
Saudia, UAE, Oman, Jordan na mataifa mengine ya Kisunni hayawezi kufanya jambo litakalo ipa nguvu Iran ambayo imeapa kuziangusha.
Saudi Arabia Iko tayari kuwasaidia Wapalestina ila sio kupitia Hamas.
Hezbollah mnayoisifia nchini Saudia inatambulika kama Kundi la Kigaidi, sababu Moja wapo ni matukio kadhaa waliyofanya dhidi ya Saudia.
Hezbollah Ndio ilikuwa inatoa Mafunzo kwa Wahouthi namna ya Kurusha Drones zilizokuwa zinalipua Matank ya Mafuta Saudi Arabia na Mashambulizi mengine, Nchi zote za Kiarabu zilikaa zikaifuta Syria kwenye umoja wa Kiarabu na kumtaka Assad aache kuua Wasyria wenzake badala yake wakae mezani, Hezbollah Ndio Waarabu pekee yao walio kataa na kuendelea kuua Wasyria na kunyang'anya Maeneo ya Wasunni huko Syria.
Hamas ni SunniHamas ni Sunni au Shia ?
Saudia ni Sunni au Shia ?Hamas ni Sunni
SunniSaudia ni Sunni au Shia ?
Nakuongezea na hili Iran ni Sunni au Shia ?
Hamas na Wasaudia ni Wasunni,Saudia ni Sunni au Shia ?
Nakuongezea na hili Iran ni Sunni au Shia ?
Saudi Arabia inataka Hamas wa Disarm waitambue IsraelSaudia ni Sunni au Shia ?
Nakuongezea na hili Iran ni Sunni au Shia ?
Kiongozi, mimi najua kinachoendelea ME kuliko wewe.Lengo kuu la Mapinduzi ya Iran ni kuyahamishia kwenye nchi zote zenye Ufalme.
Baada ya kuhamisha ni kuzifanya hizo Nchi ziongozwe na Washia wenzao.
Saudia, UAE, Oman, Jordan na mataifa mengine ya Kisunni hayawezi kufanya jambo litakalo ipa nguvu Iran ambayo imeapa kuziangusha.
Saudi Arabia Iko tayari kuwasaidia Wapalestina ila sio kupitia Hamas.
Hezbollah mnayoisifia nchini Saudia inatambulika kama Kundi la Kigaidi, sababu Moja wapo ni matukio kadhaa waliyofanya dhidi ya Saudia.
Hezbollah Ndio ilikuwa inatoa Mafunzo kwa Wahouthi namna ya Kurusha Drones zilizokuwa zinalipua Matank ya Mafuta Saudi Arabia na Mashambulizi mengine, Nchi zote za Kiarabu zilikaa zikaifuta Syria kwenye umoja wa Kiarabu na kumtaka Assad aache kuua Wasyria wenzake badala yake wakae mezani, Hezbollah Ndio Waarabu pekee yao walio kataa na kuendelea kuua Wasyria na kunyang'anya Maeneo ya Wasunni huko Syria.
Ukiona Kobe kainama ujue ana tunga sheria.Israel kimyaa. Kafyata mkia kama mbwa koko wa tandale. 😂😂
Tatizo ni Iran au Saudia ?Sunni
Waitambue Israel kwenye nini ?Saudi Arabia inataka Hamas wa Disarm waitambue Israel
Saudia wanataka Hamas waitambue Israel kama nchi kama walivyofanya Wapalestina wa West bankWaitambue Israel kwenye nini ?
Na maeneo yao waliyo yakalia kimabavuSaudia wanataka Hamas waitambue Israel kama nchi kama walivyofanya Wapalestina wa West bank