Iran yaweza kuishambulia Marekani ndani ya muda wa siku mbili kuanzia leo Reuters

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Marekani inakadiria kuwa Iran huenda ikatekeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya majeshi ya Marekani yaliyoko Mashariki ya Kati hivi karibuni, shirika la habari la Reuters limeripoti, likinukuu maafisa wawili wa Marekani.

Mmoja wa maafisa hao, ambaye alizungumza na Reuters kwa masharti ya kutotajwa jina, alisema kuwa shambulizi la kulipiza kisasi kutoka Iran linaweza kutokea ndani ya siku moja au mbili zijazo.

Ripoti hiyo imeongeza kuwa Marekani bado inajaribu kutafuta suluhu ya kidiplomasia ambayo itasababisha Tehran kuachana na mpango wowote wa mashambulizi.

Iran imetishia kulipiza kisasi baada ya Marekani kushambulia maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki iliyopita.
====================
US expects attacks from Iran in two days – Reuters

The United States assesses that Iran could carry out retaliatory attacks targeting American forces in the Middle East soon, Reuters reported, citing two US officials.

One of the officials, who spoke to Reuters on condition of anonymity, said Iran's retaliatory attack could happen within the next day or two.

The report added that the US is still seeking a diplomatic resolution that would see Tehran forgo any attack.

Iran has threatened to retaliate after US bombed its nuclear sites over the weekend.
 
Trump amejibu hicho kitisho mwambie Ayatollah asome vizuri ujembe wake huu hapa
IMG-20250623-WA0133.jpg
 
iran kapata uhakika wa msaada kutoka urusi, china, korea kaskazini, pakistani na nchi nyingine zenye misingi tofauti na marekani.. hao wamesema wanatoa msaada wa kijeshi na wapo tayari kuipa siraha za kinyuklia kama zitahitajika. Na pia mataifa ya kiislam sasa yanasema Iran ana haki ya kujilinda.
Hali imekua ngumu saana kwa israel na u.s
 
Ukiwa kijianaume, siyo lazima uwe mwanaume

Vile vile ukiwa kikiume, si lazima uwe kijianaume

Hicho kijianaume kinahitaji kuonyeshwa namna Mwanaume alivyo

Eti, na akili zangu zote nilianza kuamini kabisa kuwa Iran naye ni mwanaume

Pumbavu sana waliosababusha nianze kuamini hii kitu
 
iran kapata uhakika wa msaada kutoka urusi, china, korea kaskazini, pakistani na nchi nyingine zenye misingi tofauti na marekani.. hao wamesema wanatoa msaada wa kijeshi na wapo tayari kuipa siraha za kinyuklia kama zitahitajika. Na pia mataifa ya kiislam sasa yanasema Iran ana haki ya kujilinda.
Hali imekua ngumu saana kwa israel na u.s
 
Afu kuna watu hawataki eti daraja lipigwe picha wakati maxar anaona
 
iran kapata uhakika wa msaada kutoka urusi, china, korea kaskazini, pakistani na nchi nyingine zenye misingi tofauti na marekani.. hao wamesema wanatoa msaada wa kijeshi na wapo tayari kuipa siraha za kinyuklia kama zitahitajika. Na pia mataifa ya kiislam sasa yanasema Iran ana haki ya kujilinda.
Hali imekua ngumu saana kwa israel na u.s
Source ya habari
Niamini mimi
 
China mtoe hapo kabisaaaa. Anaangalia uchumi na maslahi tu. Usitegemee aingie gharama za kumpa hasara.
 
Eti, na akili zangu zote nilianza kuamini kabisa kuwa Iran naye ni mwanaume

Pumbavu sana waliosababisha nianze kuamini ujinga huo

Sijui nani, ajaribu aone, sijui USA, sjui Ulaya

Ujinga tupu
 
Back
Top Bottom