Iran yaweza kuishambulia Marekani ndani ya muda wa siku mbili kuanzia leo Reuters

Iran yaweza kuishambulia Marekani ndani ya muda wa siku mbili kuanzia leo Reuters

China mtoe hapo kabisaaaa. Anaangalia uchumi na maslahi tu. Usitegemee aingie gharama za kumpa hasara.
ausitumie hisia kwenye haya mambo mkuu.. ingia youtube, fuatilia huu mzozo kupitia chanel kama WION na HINDUSTAN TIMES. Utaona mwenyewe
 
Hizo kambi zao iwe zitashambuliwa ama lah. Ila US ajue, anarudisha mambo ya kujitoa muhanga ndani ya US. Milipuko itakuwa ya kutosha katika kila jimbo, watatema tu bungo.
 
Hizo kambi zao iwe zitashambuliwa ama lah. Ila US ajue, anarudisha mambo ya kujitoa muhanga ndani ya US. Milipuko itakuwa ya kutosha katika kila jimbo, watatema tu bungo.
Hayo mambo yamepitwa na wakati. sahizi ni makombora tu, mashoga zao israel wamepigwa mabomu mpaka mifumo ya ulinzi wa anga imeshindwa kufanya kazi. na ni yote walonayo kuanzia THAAD, Arrow 1&2, iron dom.. yaani ni hatari kwa marekani. i wish ningekua na muda niandike mambo mengi zaidi.
 
Hizo kambi zao iwe zitashambuliwa ama lah. Ila US ajue, anarudisha mambo ya kujitoa muhanga ndani ya US. Milipuko itakuwa ya kutosha katika kila jimbo, watatema tu bungo.
Japo najua we ni kafiri lakn umeongea jambo la msingi Sana kobaz hawataacha lipite watajitoa muhanga uko USA hadi wakome.

Baadae tusije kusema kobaz hawana akili Kila mtu ana njia zake za kushambulia kwahyo kelele za ugaidi zsiwepo tu mbeleni
 
Mda si mrefu tunaingia kwenye total war na Muiran kashafunga mfereji wa Hormuz, ambao unapitisha zaidi ya asilimia 25 ya mafuta yanayo tumika dunia nzima. Huu mlango upo katikati ya Saudi na Iran. Mpaka hapa tayari US ameshabanwa, maana yy anamaslahi mapana kwenye mafuta ya Saudi.

Huku tujiandae maana ukijaribu kununua mafuta Russia au Venezuela basi tegemea ubabe usio na maana kutoka US,maana Russia na Venezuela mafuta ni very cheap.US kachokoza mzinga wa nyuki ni muda wa dunia kutaabika na Iran hapoi anayarusha, hili shambulio la juzi Iran kujibu lazima. Kipindi kile kamanda wao Qasim alipo angamizwa, nae alienda kushambulia kambi ya US Iraq,mistake aliyo ifanya Iran kuwaambia baadhi ya maafisa wa Iraq kuwa atatumia anga lao, ndio maana US akawahi kuwaondoa wanajeshi, ila kwa sasa naona atafanya kimya kimya.
 
Screenshot_20250623_210842_Instagram.jpg

Tayari huko.
 
Uzi unasema kuishambulia marekani.
Kushambulia kambi ya US ni sawa na kuishambulia US na Iran alishalisema hili kabla US hajampiga, alisema siku akijaribu basi kambi zake zilizo middle east atazipiga.

Hatujui kesho ataenda kuzipiga meli za kivita za US au kambi nyinginezo.
 
iran kapata uhakika wa msaada kutoka urusi, china, korea kaskazini, pakistani na nchi nyingine zenye misingi tofauti na marekani.. hao wamesema wanatoa msaada wa kijeshi na wapo tayari kuipa siraha za kinyuklia kama zitahitajika. Na pia mataifa ya kiislam sasa yanasema Iran ana haki ya kujilinda.
Hali imekua ngumu saana kwa israel na u.s
Hayo mataifa ya Kiislamu na Qatar, Iraq, Kuwait being inclusive? Nasikia na UAE nayo ipo mbioni kupigwa na Iran!
 
Hayo mataifa ya Kiislamu na Qatar, Iraq, Kuwait being inclusive? Nasikia na UAE nayo ipo mbioni kupigwa na Iran!
iran kasema anapiga kambi za jeshi za mmarekani ambazo zipo midle east. hato jari zipo nchi gani.. Na anatembeza huo mkong'oto ndani ya masaa manne. fungua youtube tafuta chanel inaitwa WION, hao jamaa wanatoa taarifa bila kupendelea. na wanamahacker kibao.. huko ndo hua natoa nyepesi nyepesi. wako bizuti kuliko aljazeera
 
Al Jazeera ni kweli wapo bias kwenye hi vita, ni BBC iliochangamka; wanachuja sana habari zao. Thank u kwa kunipa hiyo channel, nitaanza kuifatilia. Vita vya Urusi na Ukraine kulikua na Chanel moja ya Kihindi, na wenyewe walikua vizuri sana
 
Mkuu nakushauri acha kutumia bbc kama chanzo cha habari za kimataifa. habari wanazo zitoa bila mihemko ni za kuhusu machafuko ya africa tu. Wapo controled sana na US hao jamaa.
 
Back
Top Bottom