wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
ausitumie hisia kwenye haya mambo mkuu.. ingia youtube, fuatilia huu mzozo kupitia chanel kama WION na HINDUSTAN TIMES. Utaona mwenyeweChina mtoe hapo kabisaaaa. Anaangalia uchumi na maslahi tu. Usitegemee aingie gharama za kumpa hasara.
WIONSource ya habari
Niamini mimi
Hayo mambo yamepitwa na wakati. sahizi ni makombora tu, mashoga zao israel wamepigwa mabomu mpaka mifumo ya ulinzi wa anga imeshindwa kufanya kazi. na ni yote walonayo kuanzia THAAD, Arrow 1&2, iron dom.. yaani ni hatari kwa marekani. i wish ningekua na muda niandike mambo mengi zaidi.Hizo kambi zao iwe zitashambuliwa ama lah. Ila US ajue, anarudisha mambo ya kujitoa muhanga ndani ya US. Milipuko itakuwa ya kutosha katika kila jimbo, watatema tu bungo.
Japo najua we ni kafiri lakn umeongea jambo la msingi Sana kobaz hawataacha lipite watajitoa muhanga uko USA hadi wakome.Hizo kambi zao iwe zitashambuliwa ama lah. Ila US ajue, anarudisha mambo ya kujitoa muhanga ndani ya US. Milipuko itakuwa ya kutosha katika kila jimbo, watatema tu bungo.
Uzi unasema kuishambulia marekani.View attachment 3380608
Tayari huko.
Kushambulia kambi ya US ni sawa na kuishambulia US na Iran alishalisema hili kabla US hajampiga, alisema siku akijaribu basi kambi zake zilizo middle east atazipiga.Uzi unasema kuishambulia marekani.
Anakusikia πππIran namshaul atulie
Hayo mataifa ya Kiislamu na Qatar, Iraq, Kuwait being inclusive? Nasikia na UAE nayo ipo mbioni kupigwa na Iran!iran kapata uhakika wa msaada kutoka urusi, china, korea kaskazini, pakistani na nchi nyingine zenye misingi tofauti na marekani.. hao wamesema wanatoa msaada wa kijeshi na wapo tayari kuipa siraha za kinyuklia kama zitahitajika. Na pia mataifa ya kiislam sasa yanasema Iran ana haki ya kujilinda.
Hali imekua ngumu saana kwa israel na u.s
iran kasema anapiga kambi za jeshi za mmarekani ambazo zipo midle east. hato jari zipo nchi gani.. Na anatembeza huo mkong'oto ndani ya masaa manne. fungua youtube tafuta chanel inaitwa WION, hao jamaa wanatoa taarifa bila kupendelea. na wanamahacker kibao.. huko ndo hua natoa nyepesi nyepesi. wako bizuti kuliko aljazeeraHayo mataifa ya Kiislamu na Qatar, Iraq, Kuwait being inclusive? Nasikia na UAE nayo ipo mbioni kupigwa na Iran!
Al Jazeera ni kweli wapo bias kwenye hi vita, ni BBC iliochangamka; wanachuja sana habari zao. Thank u kwa kunipa hiyo channel, nitaanza kuifatilia. Vita vya Urusi na Ukraine kulikua na Chanel moja ya Kihindi, na wenyewe walikua vizuri sanairan kasema anapiga kambi za jeshi za mmarekani ambazo zipo midle east. hato jari zipo nchi gani.. Na anatembeza huo mkong'oto ndani ya masaa manne. fungua youtube tafuta chanel inaitwa WION, hao jamaa wanatoa taarifa bila kupendelea. na wanamahacker kibao.. huko ndo hua natoa nyepesi nyepesi. wako bizuti kuliko aljazeera
Mkuu nakushauri acha kutumia bbc kama chanzo cha habari za kimataifa. habari wanazo zitoa bila mihemko ni za kuhusu machafuko ya africa tu. Wapo controled sana na US hao jamaa.Al Jazeera ni kweli wapo bias kwenye hi vita, ni BBC iliochangamka; wanachuja sana habari zao. Thank u kwa kunipa hiyo channel, nitaanza kuifatilia. Vita vya Urusi na Ukraine kulikua na Chanel moja ya Kihindi, na wenyewe walikua vizuri sana