Iran yazionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani

Iran yazionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita.

Kauli yake hiyo imekuja baada ya nchi za Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza kusema kuwa zinaweza kuchukua "hatua za kujihami" ili kukabiliana na uwezo wa Iran wa kurusha makombora.

IMG_20260303_223321_505.jpg
 
Kwa hali hii wana jeuri gani ya kuonya yeyote?

 
Iran wapeperushe tu bendera nyeupe kabla nchi yao haijageuzwa Gaza nyingine.
 
Back
Top Bottom