Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama ushirikiano na wale wanaoishambulia nchi hiyo, na itachukuliwa kama kitendo cha kivita.
Kauli yake hiyo imekuja baada ya nchi za Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza kusema kuwa zinaweza kuchukua "hatua za kujihami" ili kukabiliana na uwezo wa Iran wa kurusha makombora.
Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito.....
The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday.