Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya.
Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe Putin yaishe au wagome waishe?
Je Trump atamaliza muda wake kabla ya kurejesha namba tokana na kuji-overwork? Je BBI au niitenyau atazidi kuitumia Marekani kama nyumba yake ndogo kubakia madarakani ili asifungwe kwa skandari zake au Trump atastuka?