Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Farao hakuwa na nuke wala akili ndogo kama TrumpKwanini mnamuogopa sana Trump? Farau na Trump nani alikuwa na nguvu? Farau kafa kaucha uislam ukikuwa. Wakiristo wa jf mmeshikwa na nini? Mbona hamuekewiki?
Trump hi mara atakuwa hana ugomvi na Iran atajaribu kuwa nao karibu, sababu US kupigana na Iran atapoteza maslaha yake pale Middle East. Swali hapa Trup atafanya nini zaidi ya alicho fanya Biden. Hizo kelele za kusema Israe lapige Nuclear ya Iran ni nyimbo za kuomba kura kwa walio nunuliwa na majews, kule US. Si ajabu safari hi Trump akawawacha kwenye mataa waisrael. Hana shida nao tena haihitajii kugombea kuwa Rais tena.Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya.
Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe Putin yaishe au wagome waishe?
Je Trump atamaliza muda wake kabla ya kurejesha namba tokana na kuji-overwork? Je BBI au niitenyau atazidi kuitumia Marekani kama nyumba yake ndogo kubakia madarakani ili asifungwe kwa skandari zake au Trump atastuka?
Nani kaongelea uislamu hapa?Kwanini mnamuogopa sana Trump? Farau na Trump nani alikuwa na nguvu? Farau kafa kaucha uislam ukikuwa. Wakiristo wa jf mmeshikwa na nini? Mbona hamuekewiki?