Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Waipige afu wasiongeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika,maana usiku ndege za marekani zilinyanyuka kuelekea Iran,na Trump alikuwa ahutubie taifa lake usiku huohuo,ghafla Trump akaahirisha hotuba,
Nikasikia Kuna ndege ya marekani imetunguliwa karibu na bandar Abbas,
Mida ya saa Tisa za usiku,now sijui kuliendaje maana Trump mpaka Sasa Yuko kimya,wanadai no casualties Bado wanafanya assessment
 
Mkuu nimeangalia 13 HOURS OF SECRET SOLDIERS IN BEGHAZI (LIbya).Hii kitu based ni true story 2012.Aisee vita ni hatari.Wamekufa watu wengi lakini wajamaa(libya) wana munkari wa hatari.Mmarekani alishakata tamaa kama asingepata msaada.Mwisho hasara ni ya wanawake na watoto.Aisee inatisha vita tusiiombee kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kazi ufanye mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFI ..NA HUU NDIO UKWELI...


Mimi sio mtalaamu sana wa Maandiko na Tabiri, Ila katika kujifunza ,

Inaonyesha tupo Juma LA Mwisho la kuishi kwa Mwanadamu.

Hesabu hazidanganyi.
Bado sana tena sana hata vipindi vya great economic depression mpaka watu wanajinyonga kuna watu walisema hayo kipindi cha world war 1 na 2 kuna ambao walisema hayo dunia ipo na itaendelea kuwepo karne na ma karne milongo na milongo

Mwisho wa dunia ni kifo chako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napoleone Trumpl aliyetoa mkwara majuzi kuwa akithubutu kulipa kisasi ata kwa kuua raia wa marekani mmoja tu bas atamshambulia ipasavyo ndo aje kuwatoa kafara wanajeshi wake! Your not serious brother!
Marekani ata ummteke raia wake mmoja tu ataangaika kumkomboa alafu leo akubali vikosi vyake kushambuliwa!
Marekani hakutegemea kama Iran anaweza penyeza makombora yake kwenye mifumo yake ya kiulinzi litambue kwanza! America ilitegemea kulipiza iran kutakuwa kwa kuvizia tu.
 
Hiyo ni vita ya iran na US sio dunia, mbona sisi tulivyopigana na uganda hamkusema vita ya dunia?
 
Mkuu na ww huna ulijualo..namuunga mkono aliekwambia ututolee upuuz wako wa kisabato

Goite
 
Nashaur kuwa kama nchi haina uwezo wa kuipiga marekan direct pale newyork au Washington tokea nchin kwake , hyo nchi iachane na vita dhidi ya USA , Ila kama uwezo upo bas wazichape....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…