Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Salman Rushidie,maradhi aliyonayo,ya kutofunguka vifiniko vya macho ni adhabu tosha.Sio kipofu,lakini vifiniko vya macho havifunguki.
Zaidi ya miaka 20 ya ofa ya kutaka kichwa cha Salman Rushdie wa Aya za Shetwain bado hawajafanikiwa na wanajua kwa hakika kuwa yupo Uingereza sembuse kichwa cha Rais wa Marekani!

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwajemi anajidandanganya sana, kitendo cha wakandarasi wa kimarekani kushambuliwa hatimaye mauji kutokea killiwaudhi Wanarekani, hivyo wako pamoja na rais wao katika hili.

Nina wasiwasi kama patakucha Marekani asifanye tukio
Amerika KWANZA; hawa jamaa wanathamini sana uhai raia wao hata kama ni mmoja asiuwawe. Kwa hili watakuwa pamoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tena huyu ndo Iran anamtaka sana hata kuliko Marekani, akisogeza pua tu anaanza naye.
 
Hiyo yote sababu ya pesa,mkwanja,ngawira dolaaaa. Wewe kama una hela na uthamini uhai wa watu wako ni ujinga wako. Kikubwa ni malengo ya mtu kupigwa yatimie basi.

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
 
Nani ataifuta islaeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi Marekani nao waunge tela kununua S400, sio kwa kufeli kwa Patriots huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kwan vita lini?? Na channel gan wataonesha..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nchi ya Kiarabu pekee iliyopigwa mabomu wakati wa Osama ni Sudan, ambayo ni nchi ya Kiafrika. Usisahau hilo.

Nchi nyingine ipi ya Kiarabu ilipigwa kwa ajili ya Osama?
Sijasemea nchi za Kiafrika wakati wa Osama.

Nimelenga nchi za kiarabu nje ya Africa zilizopigwa kipindi cha Osama.

Marekani walikuwa wanasingizia kuwa wamepata taarifa kuwa yupo nchi fulani au mji fulani, wanaupiga. Kumbe lengo lao likiwa tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya tatu ya dunia lazima itatokea itachukua muda mrefu lakini itatokea, nimewahi, nitapigwa na natarajia kupigwa Bann .nauhakika nikiapa.ndisha mada ya kitimoto na kambale bia .na ua....ahhhh sijui mkate divai na wine kama chanzo tena bann nitapatiwa.

Sio kama uzee una umuhimu sana kwa mwanadamu ndiyo ni sawa japo sio muhimu kwa zaidi ya uzeenii
Kama hujaelewa nitaipandisha hii mada vizuri lile jukwaa la UFUNUO ambapo mim sio member ila mada itapelekwa kule bila muanzilishi kuweza kuona comments na kutoa na kupokea maoni mbadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana ulichoandika isipokuwa nakuona hauna uelewa wa nchi za Kiarabu ni zipi na zisizo za Kiarabu ni zipi. Binafsi nimekufahamisha kuwa nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama ni moja tu nayo ni Sudan pekee, nayo ni nchi ya Kiarabu iliyopo Afrika.

Sasa wewe nioneshe ni nchi ipi nyingine, popote duniani, nchi ya Kiarabu iliyopigwa na Mmerekani kwa ajili ya Osama. Kama huwezi kuionesha usiwe unakurupuka kuandika usiyoyaelewa. Hii ni JF, hapa ngoma za kitoto hazikeshi.

Bado nasubiri.
 

Ndugu yangu, vita ikishapamba moto huko Iran, wa iran watamgeuka Ayatollah na kuanza kumuona kama mtu asiyefaa, unachezea kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…