Iraq itasimama tena

Mbona hii history umeitoa nusu ungeimalizia ni nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love u Jr!! Saa zingine nikikusoma napata raha na akili inafanya kazi vzr
 
ENDELEA TAFADHALI NAFUATILIA KWA MAKINI SANA[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]


Jr[emoji769]
Nisamehe ni pilika nyingi zinazomkabili binadamu yeyote
Anyway nitaongezea machache na mengi nikisubiri kwenu.

Kwa kweli vita Ile ilikuwa ya miujiza sana
Operation desert shield ya mwaka 1991 walipatwa na maajabu makubwa sana

Wazungu walitaka kuionyesha dunia ubabe, wakiwa wamefuatana nchi zote.
Kwanza walishindwa kuanza kumtoa Iraq mapema kwa ajili ya joto na wakasubiri hali ya hewa ibadilike lakini pamoja na kuwepo kwao huko walijikusanya saudia na baadae kuelekea Iraq.

Lakini mambo hayakuwa salama kwao kwani viatu viliyeyuka can you imagine that.
Halafu zile helicopter za Uingereza lynx ambazo flying hours ni 500 lakini zilikuwa zinabadilishwa kwa masaa 27 tu
Bunduki zao zilikuwa jammed eti zinaingia mchanga

Na hata tanks zilikwama kutembea na kisingizio eti mchanga tofauti

Sasa cha kujiuliza tangu lini mwarabu akatengeneza silaha?
Nina maana silaha zote zilizotumika miaka yote kwenye jangwa ni zao (wazungu) halafu wanasingizia mchanga na vumbi.

Jamani kwa kweli kua uone ya dunia Mimi wajukuu wangu hawataboeka kwa kweli ( just kidding, only God knows)

Vijana wadogo waliletwa lakini wengi wameathirika mpaka Leo na compensation hawatapata.

Walichoendea wamekipata kwa maslahi yao lakini sacrifice imefanyika sana

Nisiwachoshe sana
 
Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo
Mkuu, naomba uanzishe uzi wenye simulizi uliyoyaona na kujifunza huko. Sharing is caring.
 
Duu tuchoshe tu kaka, nitatia neno ukimaliza
 
Mkuu, naomba uanzishe uzi wenye simulizi uliyoyaona na kujifunza huko. Sharing is caring.
Kwa kweli ningeandika mengi ila mimi sio mwandishi mzuri.
Labda ningepata mwandishi nimsimulie ili aandike kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…