Norway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.Israel imekasilika mpaka imeita mabarozi wao kutoka nchi hizo, kwasbb kutambua nchi ya palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka......tena kibaya zaidi Raisi wa Norway amesema Nyatanyahu ikija norway atakamatwa na kupelekwa ICC hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Ila raia wa Tanzania wengi hawana habari kwamba nchi yao unatambua nchi ya palastine.Jambo zuri lafaa kuungwa mkono na wapenda amani wote. Asante nchi yangu Tanzania kwa kutambua taifa la palestina tangu mwanzoni.
Sio wakristo wachache ambao ni mazuzu wa tz,kwao muisrael hata akiwaomba duara wanampa sababu ni mbarikiwa wa bwana waoNorway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.
We sema tu ukweli kuwa wana elimu na uelewa wa kutosha, hawana mihemuko na chuki za kidini kama watanzania ambao kutwa kuchwa wanaside na Israel au Palestine si Kwa sababu ya objectivity ya jambo lilivyo ila tu Kwa sababu wao ni watu wa Imani fulani.Norway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.
Nawaooo wasikanyage israel......inawahusuIsrael imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasbb kutambua nchi ya palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka......tena kibaya zaidi Raisi wa Norway amesema Nyatanyahu ikija norway atakamatwa na kupelekwa ICC hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Watakamatwa kwa kosa gani?Nawaooo wasikanyage israel......inawahusu
Norway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.
Ndo mchakato unaanza hivo mpaka atalazimika kuanza two state solution.Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli [emoji848]
Haijalishi! Raia wengi tunaunga mkono vita dhidi ya magaidi hamasIla raia wa Tanzania wengi hawana habari kwamba nchi yao unatambua nchi ya palastine.
Kupitia huu uzi watajua sasaIla raia wa Tanzania wengi hawana habari kwamba nchi yao unatambua nchi ya palastine.
One step at a time kabla ya oct 7Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔