zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kumbe issue ni miaka elfu 3? Mbona kwenye Biblia Israel ilikuta tayari kuna watu hapo philistia? Kulikua na makabila zaidi ya 13 hao Israel waliwachinja ndio wakapora baadhi ya maeneo. Kwahiyo hao Israel ni matapeli tokea zamani.Israeli ilikuwepo miaka elfu 3 iliyopita kabla ya kuwepo Palestine.