Mie muislam,Uislam unaeleza wana wa Israel banuu israyil na walikaa ukanda wa bahari ya Sham na Jerusalem.
Je Palestina yote na Israel ni Jerusalem?
Na walienda wapi kabla ya 1947!?
Maana ukitizama hii dunia takriban 70% imekua misplaced.
Uturuki pale panapoitwa Uturuki kiasili nusu ya ardhi ni ya Ugiriki na nusu ya ardhi ni Iran.
Australia ya weusi sio ya weupe.
Egypt ni ya wanubi/sudan kusini+kaskazini sio ya waarabu.
Kwahiyo tuseme kuwa kila mmoja apambanie ardhi yake ya asili!??
Maana ardhi zote katunuku Mungu hakutunuku shetani.
Binadamu wote wana haki sawa na wanaisraeli,je na wengine waanze kupigania ardhi zao asilia!?