Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwa hiyo mipaka yake ni ipi hiyo palestina, au from the river to the sea? kwasababu eneo kubwa la pale wamejaa wayahudi. hata westbank ni Mkoa wa Israel wao huwa wanaida JUDEO SAMARIA, na kuna wayahudi zaidi ya 600,000 wana makazi kule na wanaendelea kujenga. mipaka ya Palestina ipo wapi? au hawa spain na wengine wanatafuta tu kujifurahisha. na huwezi kuingia Judeo samaria au hata Gaza bila kuomba visa Israel. hata wafanyakazi wa UN gaza wanaomba visa Israel.