Mkuu unaongea nadharia ila sio uhalisia.
Kiuhalisia sasa hivi Israel inapitia wakati mgumu.
-Kwanza haina amani toshelezi kiasi raia baadhi ya kanda wamehama,mfano kanda ya kaskazini mwa Israel panapopakana na Lebanon,raia wamehama kiusalama kukwepa makombora ya wanamgambo wa hizbollah.Pia Israel ni nchi ambayo air sirens haipiti mwezi bila kulia.Hii hali raia wameichoka ndio maana waliandamana/wanaandamana.
-Vurugu alizoleta Netanyahu zimeiporomosha Israel kidiplomasia,kuna mataifa yashaanza kuitenga Israel mathalan Brazil na Spain.
-Vurugu za Netanyahu zimeamsha anti-semitism DUNIANI KOTE,wayahudi wanaonekana watu wa hovyo anti-semitism imeshika kasi.
Israel inateseka sasa hivi mkuu,fuatilia hata katika vyombo vya habari
Usiongee kinadharia mambo ambayo ni nje ya uhalisia.