Doh!kwan nan alianza vuruga maamuz ya mwaka 1948 kama sio hao waarabu ?
Kama kawaida yako hujui historia.
Vurugu alianza Israel kwa kufanya Israel settlers expansion.
1947 kila mmoja alichorewa mipaka yake,kipindi Yasser Arafat anahangaika ili Palestina itambulike UNO 1948 Israel ilianza kuwafukuza watu East Jerusalem ambapo sasa hivi panaitwa Occupied East Jerusalem.
Na wakapachika jina zionism movement.