co founder
Member
- Jan 13, 2024
- 10
- 22
Wanaaema Amani ya kudumu mashariki ya kati, Inahitaji kwanza uwepo wa taifa la Palestine
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili kuelekea kwenye Amani Mashariki ya kat
Kutambuliwa kwa taifa la Palestine ni hatua nzuri kuelekea kupata amani mashariki ya katiIsrael imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.