Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Haisaidiii hata watambuliwe na Majini yao pamoja na Allah bado tu watapigwa sana. Yaani na kuloga na elimu ya kitabu mnaita bado aisee shule muhimu jamani.Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.