Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

Babu yenu kibaka kachanganyikiwa tangu jana kusikia habari hizi wanabweka tu kila saa yupo kwenye tv haamini anachokiona na bado huu ni mwanzo tu wa anguko lake
sasa si bora anayebweka akiwa nyumbani kwake na watoto kuliko anayebweka hana hata pa kula.a.
 
Usipotambuliwa na US, UK, Canada wewe basi tena.

Tatizo la waparestina ni kutumia JIHAD (HAMAS) kudai wanayosema ardhi yao huku wakisahau kwamba ile state ilikuwa ya wayahudi kipindi cha utawala wa Mfalme Daudi.

Kwa kweli kikichowakuta ni kibaya mno, kufariki watu zaidi ya 35,000 na bado wanakufa ni historia mpya ya ukimwengu.

Play with Islael - ur gone.
hali iliyowakuta sasa israel na netanyahu hawajawahi hata kuota kama itawakuta and yet more to come
Hao us na uk sasahivi wameshachanganyikiwa maana nothing is going there way anymore hadi nato member wenzao wamewageuka achilia mbali mahakama wanaoifadhili wao wenyewe pia imewageuka
 
sasa si bora anayebweka akiwa nyumbani kwake na watoto kuliko anayebweka hana hata pa kula.a.
Comment yako tu inaonyesha uwezo wako wa kuchanganua mambo sasa wewe wale akidhulumiwa makazi yao hapo kipi unachofurahia? Ndio uone roho yako ipo vipi
 
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.

Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Nyatanyahu=Netanyahu
mkuu unakimbilia wap
 
Comment yako tu inaonyesha uwezo wako wa kuchanganua mambo sasa wewe wale akidhulumiwa makazi yao hapo kipi unachofurahia? Ndio uone roho yako ipo vipi
imetokana na dhihaka uliyoitoa. all in all, hakujawahi kuwepo nchi inayoitwa Palestina, na haitakuja kuwepo milele. spain hata leo hii akisema anaitambua palestina, ukisema aonyeshe mipaka hawezi. ukisema aende Israel ataomba visa kwa israel hataomba visa kwa kitu kinachoitwa palestina.
 
One step at a time hata wakati farao na hitler wanawatesa jews hakuna aliyejua kwamba yatapita farao alikuwa anajiona yeye ni mungu, hapa duniania hakuna udhalimu utakaa milele hata uwe na nguvu vipi ,kwasababu mungu yupo anatenda kila jambo kwa wakati anaoutaka yeye
Haya ya member wa nato kutofautiana haijawahi kutokea leo yametokea
Icc ambauo mfadhili mkuu marekani leo imemgeuka
France ambaye ni mshirika mkubwa wa marekani kasema atatekeleza matakwa ya icc
Huo ni mwanzo tu ,haya mambo tungeambiwa yatatokea mwaka jana wote tungebisha ila leo yametokea ,huyo ndio mungu
As we speak maofisa watano wa ikulu ya marekani akiwemo muisrael mwenye ushawishi mkubwa aipac wamejiuzulu kupinga udhalimu huu wa israel
 
westbank kuna waarabu/wapalestina 3m, Israel ina wayahudi 9m. ndoto yako ni kwamba kuna siku hao wayahudi 9m watafutwa ili waarabu 3m wamiliki ile ardhi?
 
westbank kuna waarabu/wapalestina 3m, Israel ina wayahudi 9m. ndoto yako ni kwamba kuna siku hao wayahudi 9m watafutwa ili waarabu 3m wamiliki ile ardhi?
Haitowezekana kuwafuta ila wanaweza kugawana mipaka kila mtu akajitawala kitu ambacho netanyahu na right wing wenzake wakiongozwa na bergovir na smogdrich hawataki huo ndio udhalimu tunaosema
Unamjua isac rabin waziri mkuu wa israel aliyeuliwa? Aliuliwa na muisrael mwenzake kisa alikuwa anataka kutekeleza two state solution ndio maana nakwambia muda ni mwalimu mzuri kama sio kizazi chetu ipo siku haki lazima ishinde hata uwe na miguvu vipi utakufa tu na hakuna aliye juu zaidi ya kumshinda mungu aliyemuumba ni kiburi tu mwisho wa siku anguko na netanyahu alipoifikisha israel ni pabaya sana ,ulimwrngu mzima umewadharau
 
hilo hamas walishalikataa. pia, ni ndoto kiuwaondoa wayahudi wenye nyumba wapatao laki sita westbank ili kupisha waarabu wahamiaji toka jordan na misri wanaojiita wapalestina. hiyo ni ndoto.
 
hali iliyowakuta sasa israel na netanyahu hawajawahi hata kuota kama itawakuta and yet more to come
Hao us na uk sasahivi wameshachanganyikiwa maana nothing is going there way anymore hadi nato member wenzao wamewageuka achilia mbali mahakama wanaoifadhili wao wenyewe pia imewageuka
Believe me, hakuna kitakachotokea na Hamas ataendelea kubokolewa hadi asemee maa.
 
We sema tu ukweli kuwa wana elimu na uelewa wa kutosha, hawana mihemuko na chuki za kidini kama watanzania ambao kutwa kuchwa wanaside na Israel au Palestine si Kwa sababu ya objectivity ya jambo lilivyo ila tu Kwa sababu wao ni watu wa Imani fulani.
Nafikiri umekazia alichosema jamaa
 
Hizo nchi Zina shida unapoitbua Palestina kama nchi mipaka ya nchi ya Palestina inaanzia wapi Hadi wapi?

Nafikiri walichokitambua ni bendera ya Palestina
Nchi ya Palestina haipo unatambua Nini?

Kwahiyo israel ni nchi, na palestina ambao ndio wenye nchi wamekua wakimbiz! Ni kama waganda waletwe Tanzania end of the day waseme huku ni kwetu, na watanzania ni wakimbizi na waondoke. Hivi utajisikiaje!
 
Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔
Huo ni uvamizi tu ndio maana wanaitwa WALOWEZI WA KIYAHUDI.... ni sawa na kusema Afghanistan sio nchi kisa ilikaliwa na US au Ukraine sio nchi kisa Putin kaikalia? Such a stupid opinion.

Uvamizi huwa una mwisho mkuu, siku mambo yakigeuka kama enzi za Hitler msije mkalialia humu na kuita sijui holocaust maana chuki za miaka mingi zikifikia ukomo hakuna mwenye huruma
 
Mkuu unaongea nadharia ila sio uhalisia.
Kiuhalisia sasa hivi Israel inapitia wakati mgumu.
-Kwanza haina amani toshelezi kiasi raia baadhi ya kanda wamehama,mfano kanda ya kaskazini mwa Israel panapopakana na Lebanon,raia wamehama kiusalama kukwepa makombora ya wanamgambo wa hizbollah.Pia Israel ni nchi ambayo air sirens haipiti mwezi bila kulia.Hii hali raia wameichoka ndio maana waliandamana/wanaandamana.
-Vurugu alizoleta Netanyahu zimeiporomosha Israel kidiplomasia,kuna mataifa yashaanza kuitenga Israel mathalan Brazil na Spain.
-Vurugu za Netanyahu zimeamsha anti-semitism DUNIANI KOTE,wayahudi wanaonekana watu wa hovyo anti-semitism imeshika kasi.
Israel inateseka sasa hivi mkuu,fuatilia hata katika vyombo vya habari
Usiongee kinadharia mambo ambayo ni nje ya uhalisia.
Huyo ni mlokole anayeamin Israeli sio watu wa kawaida sasa unaamzaja kumbadikisha ...mtu anaamin hata kumpa tigo myahudi ...ni BARAKA kwa mungu wao ndo maaana kila siku tukio baya la Israeli wanaamin sio la kawaida
 
Huo ni uvamizi tu ndio maana wanaitwa WALOWEZI WA KIYAHUDI.... ni sawa na kusema Afghanistan sio nchi kisa ilikaliwa na US au Ukraine sio nchi kisa Putin kaikalia? Such a stupid opinion.

Uvamizi huwa una mwisho mkuu, siku mambo yakigeuka kama enzi za Hitler msije mkalialia humu na kuita sijui holocaust maana chuki za miaka mingi zikifikia ukomo hakuna mwenye huruma
Wavamizi hapa ni wapalestina. Israeli ilikuwepo miaka elfu 3 iliyopita kabla ya kuwepo Palestine. Mpaka sasa Israeli imeweka vikwazo fedha zisifike Palestinian Authority (PA). Tuone hao Spain na Norway watasaidiaje. Ni rahisi wanavyoongea lakini si kutenda 🤔
......
 
wapelekwe congo mashariki kwa walendu na wahema wataivana huko
Waletwe tu hapo rwanda ili wamvuruge yule Tollu apunguze chokochoko zake kule Kongo, maana wakikaa miaka Mitano tu hapo Ruanda watataka iwe inchi ya kiislamu ivyo Tollu anahangaika nao na kuacha chokochoko zake kule Kongo 😂😂
 
Back
Top Bottom