Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

Israeli ilikuwepo miaka elfu 3 iliyopita kabla ya kuwepo Palestine.
Kumbe issue ni miaka elfu 3? Mbona kwenye Biblia Israel ilikuta tayari kuna watu hapo philistia? Kulikua na makabila zaidi ya 13 hao Israel waliwachinja ndio wakapora baadhi ya maeneo. Kwahiyo hao Israel ni matapeli tokea zamani.
 
Huna akili kabisa, kwahiyo kama hawana nchi kisa wamekaliwa kimabavu ndio hawana haki ya kupewa nchi yao? Ni sawa na Idd Amin angeivamia Tanzania then jina ligeuzwe kuwa Uganda..... je wagogo na wasukuma wangeanza timbwili kudai haki zao ungesema hawana haki kisa hawana nchi?

Mbona una reasoning mbovu sana!! Kiufupi hilo eneo lote la Israel ya sasa lilikua British Palestine so mpaka uhuru unatolewa na uingereza hakukuwa na nchi inaitwa Israel. Hao wayahudi ndio wakajitangazia taifa lao 1948, mind you UN ilisema wagawane 55% Israel na 45% ibaki Palestine. Sasa kama hakukuwa na taifa hiyo partition ilifanywa kati ya Israel na taifa gani?
 
Sasa umeanza kuelewa!!
 
We sema tu ukweli kuwa wana elimu na uelewa wa kutosha, hawana mihemuko na chuki za kidini kama watanzania ambao kutwa kuchwa wanaside na Israel au Palestine si Kwa sababu ya objectivity ya jambo lilivyo ila tu Kwa sababu wao ni watu wa Imani fulani.
Waafrika hizi dini za kuletewa tunazichukulia serious mno
 
Hii sasa ni kejeli
Kuna tofauti gani na nchi tofauti na Ugana kumtambua Joseph koni na kabila lake kuwa ni nchi?
 
Sio kitu cha kustaajabisha kwa Ireland kufanya mambo ya ajabu. Hata Hitler alipokufa walituma salama za pole kwa ujerumani 🤔
....
 
Hapana ur very wrong netanyahu msimamo wake ni taifa moja la israel ila wazunguna waarabu wamemwambia hiyo kitu asahau haitowezekana ,
Hata waziri wake wa ulinzi gallant alimpinga waziwazi na kumwambia akiwafuatisha right wing israel itaangamia
Acha uongo , msimamo wa awali ulikuwa mataifa mawili nyiny was3ng wapenda vita mkakataa , leo hii mnafurahia wazo lile lile mlilikataa , leo hii washawapokonya maeneo yenu ni ngumu kudai mataifa mawili , huu useng mliutaka nyiny , kama mngekubali mwaka 1948 basi msingefikia huku , mliona vita ndo solution leo mmeferi mnaanza tia huruma
 
mnachangia mambo kwa mihemko sana , Palestina haiez kuundwa ikiwa inatawaliwa na Hamas sio Israel tu hata waarabu wengine hawataki , Alshabab alipopata nguvu Somalia akaanza unda vikundi Kenya , Kisha Tanzania ,Drc na leo wame influence hadi Msumbiji kwa mjinga kama ndo utaeza kubali uunde nchi jirani inatawaliwa kikundi cha wehu kinachowaza vita muda wote , ISiS ilipokomaa Iraq ikajitanua mpk Syria kisha Libyia kisha maeneo kadhaa ya sub sahan africa kisha wakajipenyeza hadi ulaya ya mashariki leo wanaua ndani ya Urusi

ISRAEL yupo tyr hata leo kuitambua Palestina kama nchi huru ila kwanza wapalestina wakubali Kuongozwa na wanasiasa na sio magaidi ya Hamas ambayo hayafuati taratibu za kimataifa kuongoza watu maana kesho Hamas wataanza itumia Palestina kushambulia majirani na kujificha ndan ya wapalestina kisha ukijibu unaonekana muonevu
 
solution ni nchi moja maana wao wenyewe walikataa nchi mbili
 
msimamo wa wazungu ni mataifa mawili tangu mwaka 1948 nyiny waarab wa mchongo ndo hamkutaka mataifa mawili
 
msimamo wa wazungu ni mataifa mawili tangu mwaka 1948 nyiny waarab wa mchongo ndo hamkutaka mataifa mawili
Hapana mzee wazungu walitaka mataifa mawili ila israel ndio hataki ndio maana hadi leo anaendelea kujenga hadi maeneo ya palestina ndio ukisikia ilegal settlements
 
LOTH HEMA hiki ndio nilichokuwa nakwambia marekani akijichanganya kwenye hili swala la icc hawezi tena kumnyooshea mtu tena kidole na hiyo mahakama watu wanaweza hata kujitoa maana imeprove kuwa bias
 

Attachments

  • Screenshot_20240525-075948_Instagram.jpg
    358.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…