Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Mi nampa ushauri wa bure kabisa awe Video Queen ata enjoy.
 
Series za wapi hizo?makubwa
kila kitu hakiuziki hadi majeneza 😵🙄😉
 
Hata hizo series hataweza kuuza maana hali ni ngumu na hawahui kuigiza zaidi ya kujionesha ili watafutwe, namshauri arudi amuangukie mumewe awe mke wa kupika na kupakua, kila zama na watu wake zake zimepita now wako kina Tunda.
 
Yaani wanatia huruma hata Gigy money kawapita soko
 
Ila kwa usafi Irene kampita Gigi, aisee Gigi mchafu jamani haaa?! Wanaume wana kazi aisee.

Wakina uwoya, wema , waolper n.k wote ni wasafi sana tatizo ni hawawezi tena kufanya vimbwanga vya akina Gigy , amber au Tunda ..

Zama zao na kina masogange zimeshapita
 
kanumba alikuwa kila kitu kwenye filamu

Diamond ni kila kitu kwenye muziki
 
Muvi za kibongo ziliuza lini???

Anyway,kwahiyo kahalalisha uuzaji wa nyapu au atafanya shughuli gani.
 
Back
Top Bottom