Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Vipi na ile biashara nyingine pendwa bado inalipa au nayo kushney?!
 
Wanunuzi wa K wamepungua, nyie hamjamwelewa tu.. so atakuwa anauza K part time tu..
 
Daah nakumbuka enzi hizo yuko akiwa binti mcharo ameolewa na ndikumana alivyokua anakuja pale AQ club chuga,Aqueline hotel kupigwa katerero na sam jamaa wa Tanzanite huku manzil akiwa na ndoa changa kabisa inasikitisha sana aisee.
 
Back
Top Bottom