na unimanye
Member
- Apr 20, 2014
- 84
- 28
Tumebaki wanaume #Suruali#[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani huyo uwoya
is this a news? ata akienda kufuga nyuki who cares?
celebrity my foot
Mkuu unampoteza akaze buti wapi wakati kavaa moka kilichopo tumtakie kila laheri uko aendako basikaza buti dada irine, tuko bega kwa bega na ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehh!mi siwaelewi Kanumba kaondoka na bongo muvi yake!Za kiswahili jamani!naona umeuliza kwa mshangao hawa watu wenyewe hawajielewi sasa kuwaelewa inabidi nawe uwe hujielewi.
alikuwa anazingua tu na yeye,hata angekuwepo yangekuwa yaleyale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehh!mi siwaelewi Kanumba kaondoka na bongo muvi yake!
Duhh, ndoa ilimshinda kabakia na mshipi wa ndoanomke wa hamad ndikumana
Wanasema panapo kosekana bunduki rungu hufaa lakini nadhani ni kauli za kujipa moyo na kujidanganya bunduki ni bunduki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseehh!mi siwaelewi Kanumba kaondoka na bongo muvi yake!
Ni mwendo wa kuuza kei tu
na rungu ni runguWanasema panapo kosekana bunduki rungu hufaa lakini nadhani ni kauli za kujipa moyo na kujidanganya bunduki ni bunduki
Gigy ni FYATU ukiiga anachofanya utaonekana kituko mjiniWee, kazi ya Gigy ngumu sana...kupiga picha na underwear kila siku inataka moyo wa jiwe.
Ananuka jasho huyu demu balaa..Ila kwa usafi Irene kampita Gigi, aisee Gigi mchafu jamani haaa?! Wanaume wana kazi aisee.
Afisa utumishi bongo movieNdio nani huyo uwoya
Mkuu kwani ni lini hao waja wamewahi kuwa na hela?Hadi nyinyi fwezaa imewakimbiaaaaa