Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Za kiswahili jamani!naona umeuliza kwa mshangao hawa watu wenyewe hawajielewi sasa kuwaelewa inabidi nawe uwe hujielewi.hahaaa...hizo series za kibongo...au kihindi?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kiswahili jamani!naona umeuliza kwa mshangao hawa watu wenyewe hawajielewi sasa kuwaelewa inabidi nawe uwe hujielewi.hahaaa...hizo series za kibongo...au kihindi?!!!
Take that foot and shove it up your asscelebrity my foot
once a fag always a fagTake that foot and shove it up your ass
a fag comes to celebrity forum, open a thread about a celebrity then bitching 'is this news?'once a fag always a fag
Hata hizo series hataweza kuuza maana hali ni ngumu na hawahui kuigiza zaidi ya kujionesha ili watafutwe, namshauri arudi amuangukie mumewe awe mke wa kupika na kupakua, kila zama na watu wake zake zimepita now wako kina Tunda.
Ila kwa usafi Irene kampita Gigi, aisee Gigi mchafu jamani haaa?! Wanaume wana kazi aisee.Yaani wanatia huruma hata Gigy money kawapita soko
Ila kwa usafi Irene kampita Gigi, aisee Gigi mchafu jamani haaa?! Wanaume wana kazi aisee.
Unamuonea mkuu,OPRAH ilikuwa ni bonge la muvi.Binafsi sijaona movie yoyote ya maana aliyowahi kucheza zaidi ya drama za kwenye magazeti, kama amefikira shughuli nyingine ya kufanya its better kwake.
Wee, kazi ya Gigy ngumu sana...kupiga picha na underwear kila siku inataka moyo wa jiwe.Yaani wanatia huruma hata Gigy money kawapita soko
Wanaume wa mikoani mna matatzo san.Ndio nani huyo uwoya
teteteh mpuuzi mwenzake huyookaza buti dada irine, tuko bega kwa bega na ww