Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061


Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka
 
Binafsi sijaona movie yoyote ya maana aliyowahi kucheza zaidi ya drama za kwenye magazeti, kama amefikira shughuli nyingine ya kufanya its better kwake.
 
Lini Bongo Movie iliwahi kuuza?

Ana record yeyote inayoonyesha aliwahi kuuza nakala kadhaa mwaka fulani?

Hawa walizoea 'kujiuza' mwili, na sasa hali imekuwa ngumu, wahongaji wamepigika!
Halafu mbona uso umepauka sana, nini tena?
 
Hivi na hii ina uhusiano wowote na uongozi wa baba ye MAGU?
🙂 Maana hali inaonyesha ishakuwa ngumu yaani!
 
Wasubiri kampeni za chama mwaka 2020 kwa sasa wauze tu mbunye
 
Back
Top Bottom