princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Ameamua kuchora hvyo ili kumkumbuka rafiki yake kipenzi masogangeView attachment Inst-video-3.mp4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie kwangu haijafunguka.Aliyeangalia hiyo video ataniambia
Umenenena mkuu watu wanapenda kuonekana wema ama maarufu wakati matendo yanaongea zaidi ya mbwembweHizo zote ni mbwembwe tu nahazina maana yoyote linapokuja suala la Upendo.
Upendo hauelezeki ktk maandishi rahis rahisi km hivo.
Sanaaaa niseme nimoja ya Kick.
Ww tena mzee wa bajeti ya mb.Aliyeangalia hiyo video ataniambia
Aaahh siku ya kaburi?? Ndio siku pekee watu watajionyesha wanakupenda kwa kila mbwembwe lkn in reality mioyo yao imejaa Ombwe kubwa na lenye ubaridi ndani yake.Umenenena mkuu watu wanapenda kuonekana wema ama maarufu wakati matendo yanaongea zaidi ya mbwembwe
Chief uhali gan aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niambie basiWw tena mzee wa bajeti ya mb.
Hahhaha ngoja wakuje walioangaliaHata mie kwangu haijafunguka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo tattoo ina chura?
Nipo safi chief, mambo vp!Chief uhali gan aiseee