Irene Uwoya achora tatoo mkononi ya kumuenzi Agnes Masogange

Irene Uwoya achora tatoo mkononi ya kumuenzi Agnes Masogange

Mke wa dogo janja....masogange ana umuhimu kwake zaidi ya ndikumana
 
Umenenena mkuu watu wanapenda kuonekana wema ama maarufu wakati matendo yanaongea zaidi ya mbwembwe
Aaahh siku ya kaburi?? Ndio siku pekee watu watajionyesha wanakupenda kwa kila mbwembwe lkn in reality mioyo yao imejaa Ombwe kubwa na lenye ubaridi ndani yake.
 
Back
Top Bottom